Nauza dume la kisasa la Ng'ombe

Nchiyanguu

JF-Expert Member
Sep 3, 2021
285
533
Kama kichwa kinavyosema nauza dume la kisasa ambae ndio ananza kupanda, amepatikana kwa njia ya chupa.

Bei: 700,000
Location: Dar es salaam

IMG_2482.jpg

IMG_2483.jpg

IMG_2485.jpg

IMG_2486.jpg

IMG_2484.jpg
 
Boss omba kurekebishiwa kichwa cha habari kisomeke " Nauza dume la kisasa la Ng'ombe ...", ili asomaye aweze kuelewa kwa wepesi.

Nakutakia kila la heri kwenye biashara yako.
 
Hamjui kutangaza Biashara..Elezea Vizuri Huyu Dume ni Ayshire au Jersey
Mama yake anatoa lita ngapi?
Kwanini unamuuza?
Ana umri gani?
Ana ugonjwa au hali yake ya afya ikoje?
Yuko Sehemu gani na Mwisho utaje chanjo alizopata Ndigana Kali
ECF nakadhakika
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom