Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu kwa ujumla Nimekuwa nikiota ndoto zinazofanana fanana. Iko hivi mimi naishi Dodoma, ila ni mwenyeji wa Lindi. Nimezaliwa huko na kusoma huko mpaka secondary. Chuo nikatoka kwenda...
2 Reactions
10 Replies
202 Views
Mtoto wa mchungaji Christina shusho 'Odesia Shusho' avishwa Pete ya uchumba.
4 Reactions
73 Replies
2K Views
kwamba eti kuna mganga wa kienyeji mahali Fulani, anaweza kumrudisha mpenzi wako alie potea au kukutoroka au kukufanya upendwe sana na boss wako ofisini au akupe dawa ya kupandishwa cheo kazini...
1 Reactions
15 Replies
66 Views
David Kafulila anawaza kurudi bungeni baada yakukaa benchi kwa muda mrefu. Anawaza kurejea kwenye ulingo wa siasa baada ya CCM kumficha kwenye majukumu yasiyo ya kisiasa. Lakini mbinu anazotumia...
1 Reactions
14 Replies
68 Views
Mbunge anasema na au anakana kwamba yeye si Raia wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania “Mtanzania”. Sasa Humo Bungeni anafanya nini? Hatuna Nchi inayoitwa Zanzibar wala nchi ya Tanganyika. Tuna...
15 Reactions
79 Replies
3K Views
  • Sticky
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
15 Reactions
16K Replies
2M Views
Labda Mimi elimu yangu ndogo, Mchina ana technology gani ya kumzidi USA🇺🇸 Nikiangalia wale mabwana kila sector wapo vizuri. 1) Upande wa ndege hawana mpinzani 2) Mambo ya space science ni hatari...
12 Reactions
133 Replies
3K Views
Jamaa wanasema huduma imerudi ila kiuhalisia ni mapichapicha tu hakuna lolote bado hali ni mbaya.
0 Reactions
5 Replies
6 Views
Ati otikiii🤣🤣👇👇
2 Reactions
20 Replies
454 Views
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi? Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
3 Reactions
58 Replies
703 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,413
Posts
49,631,186
Back
Top Bottom