Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali. Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna...
13 Reactions
82 Replies
3K Views
Katika harakati za mitandaoni, unajikuta umemwelewa mdada/mwanamke hapa JF. Humjui sura, umbo, wala tabia yake ila moyo unamkubali tu. Unajiuliza nini hiki sasa. Sio mbaya kujaribu pengine...
14 Reactions
83 Replies
684 Views
  • Sticky
Full name: Liverpool Football Club Nickname(s): The Reds Founded: 3 June 1892 League: Premier League Website: LiverpoolFC.com Ground: Anfield, (Capacity: 54,074) - Pitch 101m x 68m...
124 Reactions
143K Replies
7M Views
mapenzi miongoni mwa wachumba au wanandoa vijijini na mijini hutofautiana kulingana na mazingira.... mathalani vijijini mapenzi hufanyika zaidi nyakati za usiku kwa heshima, ukilinganisha na...
2 Reactions
1 Replies
23 Views
Mkazi wa Jijini Dar es salaam amekamatwa na Polisi Mkoani Njombe akiwa na Tsh. 29,374,000 katika nyumba ya kulala Wageni (Gesti) Mjini Makambako ambapo fedha hiyo inadaiwa ameipata kwa njia ya...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha limesema litaendelea kuwashukuru wananchi wanaoendelea kushiriki katika jitihada za Serikali katika kuboresha mazingira bora na yakisasa katika vituo vya Polisi...
0 Reactions
5 Replies
171 Views
Mkazi wa Dar es Salaam, Denis Mfumbulwa mwenye miaka 44 wa Goba Kulangwa amefikishwa mahakama ya mwanzo ya Kariakoo akidaiwa kujipatia malazi na chakula kwenye hoteli ya Serena kitapeli vyenye...
40 Reactions
84 Replies
6K Views
Kichwa cha uzi kinajieleza. Lakini Lissu hajawahi kujisifia popote kama aliahidiwa Cheo na Shujaa akakataa. Wote tunajua 2015 Freeman pamoja na mambo mengine aliahidiwa Uwaziri mkuu na yeye...
4 Reactions
42 Replies
1K Views
Meneja wa Golikipa Aishi Manula amesema, Djigui Diarra ni usajili bora zaidi wa Yanga katika mafanikio yao ya kutwaa Ubingwa wa ligi kuu misimu (3) mfululizo" Jemedari Said amesema hajawahi kuona...
3 Reactions
6 Replies
116 Views
Kwanini app ya tigopesa ni nzuri kwasababu ipo security pia ina uwezo kulunch bila Internet (km huna)tofauti na wengine mpaka uwe na bando. Pia unaweza set badala kufungulia password unatumia...
1 Reactions
6 Replies
466 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,142
Posts
49,623,783
Back
Top Bottom