Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndiyo maana jamaa wanasema hii Imani ni biashara.
0 Reactions
6 Replies
127 Views
Kati ya sekta huria ambazo kila kinyangarika yumo basi ni NDOA. Hii "sekta" ya ndoa huwezi kujua mtaalamu ni yupi wala majnuni ni yupi. Kila mtu kawaka moto anajitia mjuvi, hapoi wala haboi...
12 Reactions
30 Replies
179 Views
Na mara nyingi baba akiongeza mke ndio anahamishia kambi mazima huko. mke wa pili na watoto wake ndio wanapewa kipaumbele, wale wa mke wakwanza hupewa kisogo, baba anaona ni kama alikosea kuoa...
3 Reactions
13 Replies
267 Views
Ndio ndio kweli umefika pale,lakini wananchi walitarajia makubwa zaidi siyo jinsi ilivyojiri hapo jana! Wahuni walijitahidi kukuchelewesha usifike mapema kusikia kero za hao wananchi,ambazo ni...
0 Reactions
8 Replies
43 Views
Ndio, wewe mwanamke ukiwa tayari kuolewa, toka nje umtafute mumeo, usikae ndani kumsubiri, mfate huko nje. Mumeo hutampata ndani, toka nenda kanisani kusali, nenda msikitikini, nenda kwenye...
10 Reactions
33 Replies
510 Views
Rejeeni andiko hili hapa e-GA inahujumiwa Mipango yakuiua ega ilianza toka zamani ,maswali ya msingi haya nani ana majibu yake 1.Kwa nini wanaitoa wizara ya utumishi? 2.Kama hakuna ufanisi huko...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Napigwa bit kwa kuhisi kua nataka kuwasiliana na mama yake mtoto nikiwa na mke wa sasa.. Vipi huko mwenzangu? Imekua kesi, yani sipat wahasa wa kuongea na dogo kwa sasa Ana miaka 4. Toka niachane...
2 Reactions
24 Replies
141 Views
Kwetu smart thinkers
1 Reactions
4 Replies
46 Views
Mnamo tarehe 8/04/2024 Majira ya saa 2 Usiku katika Kata ya Iyela Wilaya ya Mbeya Mjini inasadikika Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia anayeitwa Vasil Dosev Dimitrov, alimchukua...
5 Reactions
61 Replies
2K Views
Enzi za ‘zidumu fikra za mwenyekiti ‘ hazipo tena. Tunapaswa kuacha kuvhukua Nukuu zake ili zitumike kama reference huko Bungeni. Socialism, Poor Education, Setup mbovu ya muungano, lack of...
13 Reactions
70 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,076
Posts
49,621,825
Back
Top Bottom