Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

WFP celebrates and embraces diversity. It is committed to the principle of equal employment opportunity for all its employees and encourages qualified candidates to apply irrespective of race...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Ni takribani siku kadhaa sasa tangu internet nchini imekuwa na changamoto. Hadi sasa tunachofahamishwa ni kwamba kuna nyaya huko baharini zimeleta hitilafu, hilo ndilo kila mmoja nchini utasikia...
8 Reactions
48 Replies
929 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
126K Views
Wote hatuchagui tuzaliwe wapi ni kama karata unalamba na kuchukuwa unachopata, sasa kama karata yako uliolamba ni landlocked na umezungukwa na wenye access na bahari lkn they are dumb, kwa maneno...
1 Reactions
6 Replies
81 Views
Mamlaka ya udhibiti wa Huduma za Nchi kavu na makini LATRA imepiga marufuku watu ambao hutumiwa Mabasi kufanya mahubiri na kufanya biashara mbalimbali zikiwemo za Madawa ya Asili nk. My Take...
4 Reactions
15 Replies
156 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Wengine kila asubuhi chai Mkate wengine hupendelea Viazi mviringo kila asubuhi na wengine kiporo cha wali. Mimi Kwa mazingira ninayokuwepo asubuh siwezi kukwepa Mihogo Kama mnavojua cassava Kwa...
2 Reactions
23 Replies
122 Views
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana Lakini mimi...
21 Reactions
149 Replies
4K Views
Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu. Hivi unajisikiaje kuwa sehemu ya migogoro katika ndoa ya mwanaume mwenzako?,sawa...
10 Reactions
33 Replies
422 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,927
Posts
49,617,795
Back
Top Bottom