Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari zenu wakuu, najua huku Kuna watu Wana uelewa zaidi katika hili, Nimeshangazwa na Polisi mwenye cheo kama Dcp Kuwa RPC, hali ya Kuwa kuna polisi ni ACP au SACP ni RPCs tena wengine ni ZPC...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Akiwa anahojiwa kutoka katika televisheni ya Wasafi (Wasafi TV) Waziri Nape amesema kuwa serikali haina matatizo na Starlink, kinachofanya washindwe kutoa huduma zao nchini ni sababu...
8 Reactions
39 Replies
636 Views
Salamaleko, Shalom. Kama tunavojua kipindi hiki kwa maeneo ya vijijini ni kipindi cha kuvuna mazao na kuna niliko mimi kwa sasa debe la mahindi lina 7000 na debe la mpunga lina 5000. Maana yake...
2 Reactions
11 Replies
229 Views
Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania anatangaza nafasi za ajira kwa vijana wenye elimu ya Shahada, Stashahada, Astashahada, Kidato cha sita na Kidato cha nne. 1. Sifa za Muombaji a) Awe raia wa...
5 Reactions
100 Replies
27K Views
Sasa siwezi hata ongea nikisema neno nalia.
23 Reactions
186 Replies
3K Views
Wewe kama mwana Jf unafahamu kwamba wabunge wapo bungeni kujadili bajeti ya nchi? Tangu bunge lianze kujadili bajeti umefuatilia na kuona mjadala wowote wa kibajeti? Kwa namna mambo yanayokwenda...
5 Reactions
18 Replies
242 Views
Kati ya sekta huria ambazo kila kinyangarika yumo basi ni NDOA. Hii "sekta" ya ndoa huwezi kujua mtaalamu ni yupi wala majnuni ni yupi. Kila mtu kawaka moto anajitia mjuvi, hapoi wala haboi...
5 Reactions
7 Replies
38 Views
Binafsi natumia wimbo wa Wiz Khalifa_High_as_me
6 Reactions
60 Replies
611 Views
Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu. Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile...
9 Reactions
47 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,854,042
Posts
49,620,892
Back
Top Bottom