Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wasalaam, Ile siku ni Leo tarehe 15 Mei, 2024. Kila mkoa unaadhimisha na wilaya zake na kata zake na vijiji vyake. Vyombo vya habari vinapaza sauti. Ukiona kimya uliko, basi kuna mtu hajatimiza...
5 Reactions
5 Replies
56 Views
Katak Hali ya kushanga asbh Leo nimefatwa na mwanamke mmoja Kuja kwangu kuniomba animtafutie mganga anaweza kumdhibiti mumeo ambae hz Sasa Ni mvuta bangi ,qmesema ameshindwa kbsa ameongeza nae...
2 Reactions
2 Replies
11 Views
Naandika haya nikiwa jikoni kabisa.Nimelia sana kwa maneno ya wabunge wanaokula posho za bure kwa kugonga meza na kudharau wanazuoni. Jamani kuna kundi kubwa sana la wanafunzi wa vyuo ndoto zao...
3 Reactions
6 Replies
138 Views
Mara nyingi tumekuwa tukishauri viongozi vitu vya kufaya ili kusaidia maboresho katika Wizara na Serikali kwa ujumla. Sasa leo ukipewa wewe nafasi ya kuwa Waziri wa Kazi na Ajira, utafanya nini...
4 Reactions
25 Replies
605 Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
54 Reactions
285 Replies
7K Views
Depression inaniua taratibu, sasa siwez hata ongea nikisema neno nalia.
2 Reactions
6 Replies
7 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo. Kwa anayewafahamu anisaidie
3 Reactions
74 Replies
1K Views
Wakuu Heshima mbele. Mimi binafsi kwanza niseme ni mtu ambaye napenda sana kusoma historia tofauti tofauti. Nimekuwa nikivutiwa na mzee wangu Mohamed Said katika maandiko yake mengi, mzee Mohamed...
10 Reactions
96 Replies
1K Views
1. Ameona na kusoma messages zako ila hajajibu na yupo online (Bluetick) 2. Unamuona online ila hawezi hata kukutext, yaani mpaka wewe mwenyewe uanze kumtext 3. Mlipokuwa mnaongea kwenye simu...
7 Reactions
64 Replies
514 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,971
Posts
49,618,882
Back
Top Bottom