Wakuu kuna kitu nimekuwa sikielewi, hizi nyumba za kupanga bei zinapaa sana. Unakuta nyumba ipo Kibamba au Madale unaambiwa kodi 500k unabaki unashangaa.
Hivi kwa mishahara na biashara zetu hizi...
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana
Lakini mimi...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Mkutano wa Kwanza unaohusu Nishati katika ukumbi wa Makao Makuu ya UNESCO jijini Paris, nchini Ufaransa leo tarehe 14...
Wakuu Heshima mbele.
Mimi binafsi kwanza niseme ni mtu ambaye napenda sana kusoma historia tofauti tofauti. Nimekuwa nikivutiwa na mzee wangu Mohamed Said katika maandiko yake mengi, mzee Mohamed...
Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana.
- Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta
- Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu...
Shehe Ponda ambaye ni mwenyeji wa Kigoma anesema Muungano wa Zanzibar na Tanganyika faida yake ni ndogo ukilinganisha na Hasara
Kupitia ukurasa wake wa X shehe Ponda ameitaka Wananchi waulizwe...
Habari, nimejiunga na mtandao wa UPWORK hivi karibu. Swali langu kwa wazoefu, Je nitumie bank gani ya uhakika kati ya NMB na CRDB kwa ajili ya kutoa pesa payoneer?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.