Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

1. Ameona na kusoma messages zako ila hajajibu na yupo online (Bluetick) 2. Unamuona online ila hawezi hata kukutext, yaani mpaka wewe mwenyewe uanze kumtext 3. Mlipokuwa mnaongea kwenye simu...
4 Reactions
31 Replies
251 Views
Jeshi la polisi Tanzania limetangaza nafasi za kazi, kwa maelekezo zaidi soma[emoji116]
21 Reactions
15K Replies
1M Views
Na mara nyingi baba akiongeza mke ndio anahamishia kambi mazima huko. mke wa pili na watoto wake ndio wanapewa kipaumbele, wale wa mke wakwanza hupewa kisogo, baba anaona ni kama alikosea kuoa...
2 Reactions
5 Replies
32 Views
Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuoa Tanzania?
4 Reactions
35 Replies
231 Views
Mzuka Wanajamvi! Itakuwa bonge la Mechi. Ngumu kwa shabiki wa mpira kukosa kuangalia na kufuatilia. Hii mechi ya ligi kuu uingereza ni ya kusisimua ni Tottenham Hotspur vs Mancity ambayo...
7 Reactions
129 Replies
3K Views
Mwanaume atavaa kiatu pea moja zaidi ya mwaka bila kununua kipya. Ila mkewe atabadilisha pea mpya kila mwezi na amani itakuwapo. Mwanaume anaweza kwenda bar, au mgahawani na kula anachotaka ila...
2 Reactions
4 Replies
91 Views
Yaan hizi taarifa nikisiaga nafungaga simu. Sijawahi sikia dreva anasababisha vifo amekamatwa. Nasikiaga tu dreva anatafutwa. Ushauri mkiwapata mtuoneshe pia amekamatwa hasa hawa wanaobeba...
2 Reactions
1 Replies
32 Views
Wengine kila asubuhi chai Mkate wengine hupendelea Viazi mviringo kila asubuhi na wengine kiporo cha wali. Mimi Kwa mazingira ninayokuwepo asubuh siwezi kukwepa Mihogo Kama mnavojua cassava Kwa...
2 Reactions
36 Replies
351 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,956
Posts
49,618,294
Back
Top Bottom