Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria. Amedai utafiti...
13 Reactions
125 Replies
5K Views
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya. Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
112 Reactions
383K Replies
11M Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
47 Reactions
236 Replies
6K Views
Hakuna shaka kwamba Mama Maria Nyerere, atadumu katika historia kama mke wa mwasisi wa Taifa letu. Kama ukili wetu ukiona mafanikio ya mwanamme basi nyuma yake kuna mwanamke mwenye busara...
1 Reactions
3 Replies
65 Views
Una kituko umekiona mtandaoni, tushirikishane hapa…
103 Reactions
220K Replies
16M Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
0 Reactions
60 Replies
3K Views
Maono na kiu ya watanzania wengi kuona viwanda vikishamiri ktk nchi yetu.Na pia Ni Maono na kiu ya Mh Rais wetu kuendelea kuzindua viwanda vikubwa vya kimkakati hivyo kuchochea ukuaji wa uchumi...
3 Reactions
16 Replies
435 Views
Tunafanya delivery kwa Wakazi wa Dar Unalipia ukipokea bidhaa yako Free delivery kwa Wakazi WA Dar(10KM) Tupo kariakoo mtaa wa ndanda na magira
5 Reactions
1K Replies
25K Views
Tunaambiwa ni kosa mtu kuvaa magwanda yenye mfanano na yale ya majeshi yetu. Je, kitendo cha Makonda kuvaa kule Chuga lile jacket ni sahihi? Je, na mimi mwananchi wa kawaida nikipata kama lile...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Binafsi natumia wimbo wa Wiz Khalifa_High_as_me
6 Reactions
59 Replies
567 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,965
Posts
49,618,607
Back
Top Bottom