Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu. Hivi unajisikiaje kuwa sehemu ya migogoro katika ndoa ya mwanaume mwenzako?,sawa...
11 Reactions
38 Replies
524 Views
Wakuu Heshima mbele. Mimi binafsi kwanza niseme ni mtu ambaye napenda sana kusoma historia tofauti tofauti. Nimekuwa nikivutiwa na mzee wangu Mohamed Said katika maandiko yake mengi, mzee Mohamed...
8 Reactions
88 Replies
1K Views
Mambo vipi wanandugu. Nimekaa na kutafakuri Sana. Hizi ndoa ambazo hazidumu huwa ni laana tupu. Kama Baba yako mzazi alimuacha mama yako akaenda kuoa mke mwingine basi tambua hiyo laana...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wakuu naomba mnisaidie kabila sahihi la kuowa Tanzania?
1 Reactions
13 Replies
58 Views
Kuna ambao wanajiuliza mbona hatumuoni ndugu yetu. Kweli kuna shida sana. Sasa Yanga cha kufanya mpelekeni Ihefu akapambane akimaliza mkataba wake mpeni thank you.
0 Reactions
2 Replies
72 Views
Wengine kila asubuhi chai Mkate wengine hupendelea Viazi mviringo kila asubuhi na wengine kiporo cha wali. Mimi Kwa mazingira ninayokuwepo asubuh siwezi kukwepa Mihogo Kama mnavojua cassava Kwa...
2 Reactions
34 Replies
298 Views
  • Sticky
Tanzania secures $7.6 billion financing deal from Chinese lender to build new railway President John Magufuli with China Exim Bank president Liu Liang after holding talks at Chamwino State Lodge...
15 Reactions
16K Replies
2M Views
Hii ni nature na hakika, Usijaribu kujionyesha kuwa u mwema au u mtoto wa mjini kwa kumuunganishia mtu wa karibu nafasi ya kazi kazini kwako. Mtavurugana mpaka mchanganyikiwe. Hii nimeiona...
12 Reactions
19 Replies
1K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views

FORUM STATS

Threads
1,853,936
Posts
49,617,952
Back
Top Bottom