Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Mnamo tarehe 8/04/2024 Majira ya saa 2 Usiku katika Kata ya Iyela Wilaya ya Mbeya Mjini inasadikika Mkurugenzi wa Kampuni ya City Casino raia wa Burgalia anayeitwa Vasil Dosev Dimitrov, alimchukua...
5 Reactions
60 Replies
2K Views
Kati ya sekta huria ambazo kila kinyangarika yumo basi ni NDOA. Hii "sekta" ya ndoa huwezi kujua mtaalamu ni yupi wala majnuni ni yupi. Kila mtu kawaka moto anajitia mjuvi, hapoi wala haboi...
12 Reactions
29 Replies
179 Views
Wakati nasoma sekondari pale Iyunga tech,Mbeya kuna mambo mengi niliyashuhudia ila leo nimekumbuka moja. Kama mnavyojua Mbeya ni baridi la kwenda hivyo kuoga ni mtiti,Kwa hiyo kuoga masela...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
1. Ameona na kusoma messages zako ila hajajibu na yupo online (Bluetick) 2. Unamuona online ila hawezi hata kukutext, yaani mpaka wewe mwenyewe uanze kumtext 3. Mlipokuwa mnaongea kwenye simu...
7 Reactions
87 Replies
992 Views
Maisha yana njia tofauti kutufunza kuwa wapole na subira hasa pale tunapojiona tumefanikiwa. Watu wanashinda kujisifu robo fainali 5 hana cha kujifunza kwa mwenye robo fainali moja. Haya mwenye...
1 Reactions
2 Replies
3 Views
Au Tatizo ni Elimu Nilitegemea wawe serious wanapopata Fursa za Kuwahoji Viongozi wa Serikali lakini inakuwa Kinyume kabisa na zaidi utakuta wao ndio wanaulizwa maswali Enzi za Adam Lusekelo au...
1 Reactions
8 Replies
74 Views
Mtanzania, Denis Mfumbulwa (44) anayedaiwa kujipatia huduma ya kula katika Hoteli ya Serena bila kulipa, ameachiwa huru katika Mahakama ya Mwanzo Kariakoo jijini Dar es salaam kwa sababu hakuna...
3 Reactions
29 Replies
706 Views
Wakuu hivi Crown ni gari ya ndoto za vijana wengi Bongo? Tupia maoni yako hapo?
1 Reactions
22 Replies
431 Views
Binafsi natumia wimbo wa Wiz Khalifa_High_as_me
6 Reactions
62 Replies
657 Views
Ndiyo maana jamaa wanasema hii Imani ni biashara.
0 Reactions
5 Replies
127 Views

FORUM STATS

Threads
1,854,074
Posts
49,621,752
Back
Top Bottom