Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Naombeni ushauri, Nilikua na mahusiano na mdada kwa kipindi cha mwaka mmoja umepita sasa. Na kama week mbili nyuma zimepita nilimfumania akiwa na mwanaume na nikaamua kuachana nae, simu zake...
1 Reactions
3 Replies
7 Views
Depression inaniua taratibu, sasa siwez hata ongea nikisema neno nalia.
12 Reactions
60 Replies
602 Views
Ukiona hii chapa, basi ujue humo ndani sio drama, mapenzi wala vita. Hawa jamaa hawana mambo hayo. Hawa wameletwa duniani kwa kazi moja tu, kuwafurahisha wapenzi wa 'horror' na sie tunawashukuru...
4 Reactions
32 Replies
502 Views
Mtu unamuheshimu Kabisaaa lakini anatembea na mke wa mtu na anajua ni mke wa mtu. Hivi unajisikiaje kuwa sehemu ya migogoro katika ndoa ya mwanaume mwenzako?,sawa...
14 Reactions
48 Replies
734 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
126K Views
Kila Jumatano ya mwanzo wa mwezi EWURA wanatangaza bei mpya ya nishati ya mafuta. Kwa asilimia kubwa kila wakitangaza ni ongezeko tu la bei na siyo punguzo. Ukichukua mfano wa nchi zote za jirani...
3 Reactions
9 Replies
242 Views
Wakuu poleni kwa majukumu, Hivi roho ya ubinafsi au chuki huwa tunazaliwa nayo au ni kutokana na mazingira tunayofanyia kazi na watu wanaotuzunguka, Huwa inafika muda mtu anapata pesa watu...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
0 Reactions
67 Replies
3K Views
Aiseeeee habari za leo wazee......... Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi...
21 Reactions
117 Replies
4K Views
Angalizo kwa Wanabodi na Mode Bandiko hili ni C&P kutoka kwa mwana JF fulani. Kwasababu mwandishi ni member wetu humu na humu hajaileta, naomba ikitokea ameileta humu, then futa hili bandiko...
28 Reactions
176 Replies
14K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,979
Posts
49,619,231
Back
Top Bottom