Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Twede kwenye hoja moja kwa moja wakuu wa afya Kama mpo naomba mnipe elimu ya kina. Mara kadhaa nimekua nikisoma makala tofauti tofauti kuhusu afya kwa upande wa jinsia za kike sijabahatika kuona...
2 Reactions
89 Replies
481 Views
Ndugu zangu, Nimekutana na hii tafakuri juu ya baraka za mzazi kwa watoto. Tafakuri hii imejengeka kupitia mandiko ya vitabu vitakatifu kwa kile alichokifanya Isaka kwa mtoto wake Yakobo. Kwamba...
1 Reactions
9 Replies
47 Views
  • Suggestion
Maji, kama kioo cha asili, yanaakisi hali ya mazingira yetu. Kutoka kwenye milima yenye theluji hadi kwenye mitaa ya miji, safari ya maji ni simulizi ya mabadiliko, maendeleo, na wakati mwingine...
0 Reactions
1 Replies
15 Views
Serikali imesema inatarajia kutumia Shilingi Bilioni 900 kugharamia uchaguzi Mkuu na Uchaguzi wa Serikali za mitaa Kwa mchanganuo wa Bilioni 600 Kwa Bilioni 300 ambazo zimetengwa kwenye Bajeti ya...
0 Reactions
13 Replies
731 Views
Kupitia ukurasa wao wa Instagram, AzamTv imetangaza kurusha tena ligi kuu ya Hispania ( La liga) kuanzia msimu ujao 2024/2025 Awali AzamTv walikuwa wanarusha ligi hiyo kabla ya kuachana nayo na...
2 Reactions
3 Replies
53 Views
Wakuu kuna kitu nimekuwa sikielewi, hizi nyumba za kupanga bei zinapaa sana. Unakuta nyumba ipo Kibamba au Madale unaambiwa kodi 500k unabaki unashangaa. Hivi kwa mishahara na biashara zetu hizi...
13 Reactions
59 Replies
1K Views
Chukulia mfano umemaliza chuo mwaka 2015, 2016, 2017, 2018 na 2019 kishuka chini alafu jaribu kuomba ajira serikalini. Pitia vigezo vyote kabla ya maombi 😀 kivyovyote vile lazima kuna kigezo...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Habari za siku ndugu wanajamvi. Kama ilivyo katika kichwa Cha thread hapo juu, nataka niende kulima ngano katika wilaya ya Sumbawanga. Naomba Ushauri wenu hapo Kwa wote, ili niingie katika...
1 Reactions
19 Replies
188 Views
Salaam Wakuu, Thread hii ya Mwendelezo, itatumika kuangazia hali ya Usalama na matokeo yake katika Mzozo wa Ukraine na Urusi. Tuzujane hapa kianachojiri.. Mvutano kati ya Ukraine na Urusi...
108 Reactions
137K Replies
9M Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
71K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,904
Posts
49,617,186
Back
Top Bottom