Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria.
Amedai utafiti...
Wakuu kama thread inavojieleza either kulingana na uzoefu wako au umeskia ndugu jamaa wanasema tupate, mkombozi wa mapishi kwa umeme.
Induction cooker
Multi Cooker
Nadhani moja kati ya maeneo ambayo yamekuwa tata zaidi kuyaelewa basi ni mji wa Vatican… tukiachilia mbali kuhusu utata/ugumu wa kuelewa mfumo wake wa uendeshaji na historia yake lakini swali...
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria Emirates A380 linatua mara mobility kwa siku abiria (600x2) pw mojan na mashirika mengine kama...
Safari inaendelea. Vitisho. Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku. Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko
Kuna watu hawa miongoni mwa wengi. Yeye anaandika "Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
“Tumepokea ugeni mzito kutoka moja ya Klabu kubwa Barani Afrika, TP Mazembe ya DR Congo ambao wamevutiwa na namna Klabu yetu ya Yanga inavyoendeshwa hivyo wamekuja hapa Tanzania kujifunza mambo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.