Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Wana jamvi,
Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika!
Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho...
Habari zenu wanajamvi,mlishawahi kujiuliza hawA wanawake waliojichubua NI Nani atakayewaoa?😂😂
Mwanamke ukijichubua jua kuwa huji kuolewa kamwe,hii ni kwa sababu hakuna mwanaume anapenda mwanamke...
UKIENDA MJINI KUTAFUTA MAISHA HAKIKISHA UNAFANYA HAYA
Anaandika, Robert Heriel
Leo sina mengi ya kusema, najua Maisha hayana Formula Ila zipo Formula katika Maisha. Ukitaka chukua usipotaka...
Nchi ni siku ya tatu leo watu wapo na mkwamo wa internet waziri yupo tu karelax
Anafanya nini ofisini?Kwani asijiuzulu haraka huyu mtu?
Nape anafaa kuwajibishwa!! Kwanza yeye kwa maksudi ndo...
Kuna wakati tunahitaji ku realise stress. Kuna wakati tunahitaji kufanya jambo jipya. Kuna wakati tunahitaji kuona kitu kipya.
Kuna wakati HATUHITAJI kusoma post zenye kutafakarisha. Kuna wakati...
Bado changamoto nyingi tulizonazo zinasababishwa na watawala na serikali zetu za kiafrika. Kwa Akili ya kawaida na viongozi wenye Akili timamu hawawezi kulazimisha kila Bus dogo linaloenda kwa...
Teknolojia hii ya utengenezaji wa screen za TV ilianzia zamani miaka ya 1950 lakini matumizi yake yameanza miaka ya 2010 kama zilivyo teknolojia nyingi ambazo huchukua miaka hadi kufanyiwa kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.