Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Bado changamoto nyingi tulizonazo zinasababishwa na watawala na serikali zetu za kiafrika. Kwa Akili ya kawaida na viongozi wenye Akili timamu hawawezi kulazimisha kila Bus dogo linaloenda kwa...
0 Reactions
1 Replies
73 Views
Mwamposa ni motooo! Taifa linatetemeshwa kwa miujiza mbalimbali ambayo kila leo Mungu anawatendea watu wake kwa njia ya Mtume wake mtakatifu! Majuzi alikuja Mtwara na wengi wameponywa, pepo...
15 Reactions
300 Replies
12K Views
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
64 Reactions
34K Replies
2M Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
125K Views
___________________________ Tuwafundishe watoto wetu kazi kuanzia nyumbani mpaka shuleni. Tuwalee watoto wetu kama binadamu na siyo kama mifugo. Zamani shamba la mwalimu lililimwa na wanafunzi...
3 Reactions
14 Replies
276 Views
Kutokana na Takwa la KIKATIBA kuwa Mbunge lazima awe Mwanachama wa Chama cha siasa na Mbunge anapoteza SIFA ya kuwa MBUNGE pindi anapofukuzwa UANACHAMA na chama chake. Halima Mdee na Wenzake...
3 Reactions
21 Replies
527 Views
Kwa muundo wa Muungano wetu, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu, mkweli wa nafsi na asiye mnafiki, anayeweza kutetea kuwa muundo huu uliopo upo sawa sawa. Ndiyo maana watu wote maarufu, wenye...
11 Reactions
148 Replies
2K Views
Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania mambo...
17 Reactions
315 Replies
4K Views
Taarifa ikufikie Popote ulipo kwamba, Vikao vya Kamati Kuu ya Chadema, ambayo sasa imedhihirika kwamba ndio Chama cha Siasa chenye Wanachama wengi zaidi Nchini Tanzania ( inatajwa kuwa na...
7 Reactions
41 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,616
Posts
49,608,796
Back
Top Bottom