Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nisikuchoshe usinichoshe, bila kumsifu mama wala chama hata kama una masters, degree au diploma of honor Yani GPA ya nne ma straight A's huku mtaani ni laana tu kwanza unakuwa case study pili...
18 Reactions
67 Replies
1K Views
Bomu baridi la kukabiliana na tembo lazinduliwa Dodoma. Mhe. Dkt. Stergomena Tax Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa.
1 Reactions
2 Replies
139 Views
Salaam! Kama members wa JF ni wengi siyo mbaya na sisi wengine tuwe tunaanzisha uzi kuliko kila ukiingia unakutana na nyuzi za watu wale wale! Uzi Mkuu! Kila nikijaribu kuangalia mahudhurio...
0 Reactions
16 Replies
335 Views
Ndugu zangu wenye Usikivu Hafifu. Mmewezaje kutoka kimaisha? Mwenzenu naona mambo magumu sana. Kazi sina, zingine napata wananitosa, mtaji sina, mpenzi sina. Natamani nikimbilie South Africa...
3 Reactions
16 Replies
356 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Siku za hivi karibuni chama cha upinzani chadema kimeanza kufanya chaguzi zake za ndani,yapo makandokando mengi sana yameibuka kwenye zoezi hilo. Miongoni mwa kashfa zilizoibuliwa ni nzito hasa...
2 Reactions
19 Replies
1K Views
Zama hizi, utambulisho mkubwa wa CCM kwa jamii ni UOVU. CCM inaonekana ni chama ambacho kipo kwaajili ya kujenga, kulinda na kuendeleza uovu na waovu: 1. UKOSEFU WA UZALENDO: Watuhumiwa wote wa...
10 Reactions
38 Replies
529 Views
Nyepesi nyepesi; Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa...
9 Reactions
76 Replies
943 Views
Bendera ya CCM ni Kijani na Njano iliyobeba Jembe na Nyundo hii inaonyesha ni Chama kilichojikita kwenye Ustawi wa Jamii iliyo Huru katika kujiletea Maendeleo Bendera ya Chadema Nyeupe & Nyekundu...
0 Reactions
0 Replies
7 Views
1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe. 2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo.
8 Reactions
45 Replies
1K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,661
Posts
49,610,696
Back
Top Bottom