Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Habari, Kuna yeyote aliefanikiwa kuhama kwa kutumia huu mfumo? Aje atupe ushuhuda kidogo. Huu mfumo bado ni changamoto.
10 Reactions
59 Replies
3K Views
Kwa muundo wa Muungano wetu, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu, mkweli wa nafsi na asiye mnafiki, anayeweza kutetea kuwa muundo huu uliopo upo sawa sawa. Ndiyo maana watu wote maarufu, wenye...
12 Reactions
149 Replies
2K Views
Mzuka, Nasikiliza Jahazi mda huu lakini sijui hawa jamaa na kipindi chao wanatangaza nini, Mchomvu kweli ni changamoto vitu anavyoongea hadi wenzake wanapata shida.
3 Reactions
16 Replies
566 Views
Kuna mazungumzo yanaendelea kuhusu kampuni ya uchimbaji madini ya BHP kutaka kuinunua kampuni ya uchimbaji madini ya Anglo America. Kwa Tanzania Anglo America inamiliki mgodi wa Geita Gold Mine...
5 Reactions
24 Replies
559 Views
Poleni sana ndugu zangu watanzania kwa tatizo la mtandao wa internet linalowakumba kwa wakati huu. Pia hongereni timu ya wananchi kwa kutwaa ubingwa wenu wa 30. Pia nachukua fursa hii kuwapa...
1 Reactions
2 Replies
68 Views
Mkazi wa Dar es Salaam, Denis Mfumbulwa mwenye miaka 44 mkazi wa Goba Kulangwa amefikishwa mahakama ya mwanzo ya Kariakoo akidaiwa kujipatia malazi na chakula kwenye hoteli ya Serena kitapeli...
28 Reactions
60 Replies
3K Views
Ndio,kitandani,kwa usalama wa ndoa yenu,mgonge kama mko vitani,lakini mkiwa mezani kwenye maakuli,mlishe kama mtoto
0 Reactions
0 Replies
7 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
125K Views
Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa...
5 Reactions
11 Replies
325 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,618
Posts
49,608,858
Back
Top Bottom