Wakuu,
Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu...
wakuu mambo ni vipi
Embu Leo Taja jina la mtu ambaye hujawahi Kulisikia tena baada ya kukutana na mtu analitumia.
Mimi nilikutana na jamaa anaitwa drufiano lile jina sijawahi kulisikia sehemu...
Probability ya mwanaume kumcheat mkewe( kuwa na mchepuko) Ni almost 80%
Au niseme zaidi ya asilimia 80 ya wanaume wote Duniani Ni wanacheat kwa wapenzi/ wake zao.
Ila ukimuona mwanaume ambaye...
Hali ya mtandao wa internet bado ni mbaya sana kiasi cha kufanya shughuli za kiuchumi na kijamii kuathirika. Hii ni pamoja na Mabenki,Mahospitali, maduka,TRA, Umeme, Mashirika ya ndege, na maeneo...
Mheshimiwa Philipo Mpango tunaishukuru Serikali kwamba hatimaye barabara ya kutoka Chanika imefika zingiziwa. Yaani imeishia getini kwako mheshimiwa. Tulikuwa tunaomba angalau basi utusaidie...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.