Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

kuanzia sare zao za kazi yaani, shati na suruali. kwanza ni vichafu, lakini pia ni vichakavu na sielewagi vinachakaaga kwa kazi gani au kuvaliwa wapi zaidi ya humo humo kwenye daladala 🐒 sawa...
1 Reactions
3 Replies
22 Views
Hii ni "fragile" period kwa vile kuna chaguzi zijazo. Maadui wenu wanasubiri mvurugane kwenye chaguzi za ndani and surely will take advantage of this kupita kirahisi chaguzi zijazo. Postpone...
3 Reactions
25 Replies
606 Views
AZIZ ALLY MJENZI WA MISIKITI Aziz Ally alipofariki mwaka wa 1951 muda mfupi baada ya.kutoka hijja gazeti la Tanganyika Standard katika kueleza kifo chake liliandika "Mjenzi wa Misikiti Amefariki."...
5 Reactions
24 Replies
415 Views
Nyepesi nyepesi; Nimepata taarifa kuwa jana jumatatu makampuni yote ya simu yanayotoa huduma hapa nchini kuwa wamekaa na kujadili jinsi ya kutatua changamoto na kufidia hasara kwa watumiaji wa...
20 Reactions
104 Replies
2K Views
Ndugu zangu awali ya yote ni washukuru Wana jamiiforums wote ambao mliguswa na changamoto yangu iliyo nikuta ambayo ilipelekea kuandika Uzi uliotafsiliwa kama nimekata tamaa😭😭😭 Nahisi siku zangu...
2 Reactions
5 Replies
38 Views
Tukutane wote wenye virusi vya ukimwi na kuelezana ulijisikiaje ulipoambiwa kuwa una upungufu wa kinga mwilini? Mimi nakumbuka ilikuwa 2020, mwezi wa 7 tarehe 17 nilipima katika hospitali moja ya...
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Chama Cha Mapinduzi kipo imara zaidi kwa sasa kuliko nyakati nyinngine zozote zilizopita... kina kina ungwa mkono na makundi maalumu karibu yote, wanawake, vijana na wazee, lakini pia kinaaminika...
0 Reactions
10 Replies
82 Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Habari wakuu Nikiri Mimi ni muumini wa demokrasia ya vyama vingi na siasa za hoja za ushindani Kwani naamini ushindani wowote huletea wananchi maendeleo Ni moja ya watu tunatamani kuona...
0 Reactions
2 Replies
87 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,822
Posts
49,614,695
Back
Top Bottom