Habari za siku ndugu wanajamvi. Kama ilivyo katika kichwa Cha thread hapo juu, nataka niende kulima ngano katika wilaya ya sumbawanga. Naomba Ushauri wenu hapo Kwa wote, ili niingie katika kilimo...
1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe.
2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo...
Ukiona hii chapa, basi ujue humo ndani sio drama, mapenzi wala vita. Hawa jamaa hawana mambo hayo. Hawa wameletwa duniani kwa kazi moja tu, kuwafurahisha wapenzi wa 'horror' na sie tunawashukuru...
Aiseeeee habari za leo wazee.........
Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
"Historia ya CHADEMA kwa miaka ya nyuma imekuwa ikiazima wagombea Urais, tumekuwa tukiwabembeleza wanachama wenzetu kugombea Urais akiwemo Dkt Slaa kumekuwepo na 'trends' hiyo kwamba hatujawahi...
Habari wanajukwaa,
Leo nimeona niwaelezee smartphone ilivyonipeleka polisi katika kituo ca msimbazi then njkahamishwa hadi kituo cha Mbweni kilichopo Bagamoyo Road, nisiwachoshe ngoja niende...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.