Nawasalimu kwa Jina la Jamhuri. Kazi iendelee.
Mama Samia, wakazi na wapiga kura wako wa GOBA Njia ya Tegeta A kuelekea madawa na njia ya Tegeta A kuelekea kulangwa kupitia makanisa ya Katoliki...
Hivi haiwezekani kutafuta maeneo mapya na ikajengwa Hospitali Mpya kuliko kukarabati Hospitali moja kila baada ya muda mfupi?
Au mimi kuna kitu sielewi?
Habari jf team.
Nimechoka na maisha ya upweke. Finally, nimeamua kufanya maamuzi magumu kwa mustakabali wa future yangu na familia ambayo Mungu atanibariki.
Natafuta MWANAMKE ambaye anahitaji...
Safari inaendelea. Vitisho. Haya ndiyo maisha yetu ya Kila siku. Mengine tumetoa Ripoti Polisi huko
Kuna watu hawa miongoni mwa wengi. Yeye anaandika "Ben Saanane unachokitafuta ndani ya Serikali...
Habari wanajukwaa,
Leo nimeona niwaelezee smartphone ilivyonipeleka polisi katika kituo ca msimbazi then njkahamishwa hadi kituo cha Mbweni kilichopo Bagamoyo Road, nisiwachoshe ngoja niende...
Hakuna bin-adam yeyote awe kiongozi ana raia asiyekua na mapungufu,viongozi wote walikuwa nayo uzuri ni kwamba walifanya mengi mazuri kuliko mabaya ndio maana tunakubali kwamba walikuwa the...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.