Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ukipanda daladala unaweza kugundua jambo lilelile kila siku: kila daladala inapofika kituo chenye watu wengi mlango umeshazibwa na watu ambao hawawezi kusubiri kupambana kwa vile viti vichache...
0 Reactions
28 Replies
355 Views
Inastaajabisha sana naweza kukaa miezi miwili sija login jamii forum Unapata muda unaingia hukutani na kitu cha muhimu Unakuta petty discussion tena wanaoanzisha wengi wao ni wale wajinga wenye...
3 Reactions
5 Replies
27 Views
Kumekuwa na katabia kabaya kabaadhi ya askari wa JWTZ wanawaazima kombati rafiki zao raia wakatambe maeneo usiku iwe baa za vichochoroni,mtaani kwa madem,pia hata hao askari wengine wanatabia za...
1 Reactions
7 Replies
50 Views
"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi...
41 Reactions
192 Replies
6K Views
Nawasalimu katika jina la Muungano. Hivi Mauritius wana maajabu gani ambayo Zanzibar hatuna? Fikiria A380 linatua daily kumwaga watalii. Kwa wastani Mauritius inapokea karibia watalii milioni 3...
0 Reactions
4 Replies
36 Views
Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria. Amedai utafiti...
4 Reactions
50 Replies
1K Views
Kutokana na Takwa la KIKATIBA kuwa Mbunge lazima awe Mwanachama wa Chama cha siasa na Mbunge anapoteza SIFA ya kuwa MBUNGE pindi anapofukuzwa UANACHAMA na chama chake. Halima Mdee na Wenzake...
4 Reactions
25 Replies
720 Views
TAMISEMI Ndio Tanganyika yenyewe kwani Mkurugenzi ana Idara zote ambazo kwenye Muungano tunaita Wizara na anao Jeshi la Mgambo kuhakikisha Usalama katika level yake. Kikwete akiwa Rais aliiacha...
0 Reactions
6 Replies
185 Views
Mwanafalsafa, mchumi na mwanasiasa wa India ya kale, Chanakya aliwahi kusema, “There is some self-interest behind every friendship. There is no friendship without self-interests. This is a bitter...
3 Reactions
34 Replies
937 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,720
Posts
49,611,887
Back
Top Bottom