Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu nauliza tu,,,, Ishu za muungano imekua moto kuliko ishu yoyote ile kuna nn?? Nini kinachochea hii movement!!
1 Reactions
15 Replies
33 Views
Shehe Ponda ambaye ni mwenyeji wa Kigoma anesema Muungano wa Zanzibar na Tanganyika faida yake ni ndogo ukilinganisha na Hasara Kupitia ukurasa wake wa X shehe Ponda ameitaka Wananchi waulizwe...
0 Reactions
7 Replies
114 Views
Nimemkuta Meya mstaafu wa Ubungo mh Boniface Jacob Kule ukurasani X akisema Yeye alikuwa Mlinzi wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe Imenitafakarisha sana 🐼 Niishie hapo
3 Reactions
36 Replies
885 Views
Kuna mtu anaitwa Eldadi, mwingine ni Elia kumenya na mch. Flora! Je, ni nguvu gani wanatumia kutabiria watu vifo? Kurogwa na mambo mengine kama hayo. Kwa anayewafahamu anisaidie
1 Reactions
14 Replies
169 Views
Aiseeeee habari za leo wazee......... Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi...
19 Reactions
91 Replies
2K Views
Wakuu kwema. Hili suala ni la kawaida likitokea mara moja ila likijirudia rudia tunapata wasiwasi. Imetokea kwa siku tano hadi leo navyotype kwamba nikipanda daladala konda haniombi nauli namimi...
1 Reactions
13 Replies
23 Views
Faida zake zikoje kwa wanaojua plz
0 Reactions
3 Replies
4 Views
Probability ya mwanaume kumcheat mkewe( kuwa na mchepuko) Ni almost 80% Au niseme zaidi ya asilimia 80 ya wanaume wote Duniani Ni wanacheat kwa wapenzi/ wake zao. Ila ukimuona mwanaume ambaye...
4 Reactions
32 Replies
707 Views
Car4Sale ONSALE IST (EBE)
ON SALE (EBE)- Price 14.7ml KALI SANA Color 🖤 PEARL WHITE MWAKA 2005 LOW MILEAGES Engine 1290 Low mileage New tyre Clean sana 0768160670 EXCHANGE ALLOWED
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Wana jamvi, Kama bado hujawahi kukutana na changamoto ya familia unaweza kudhani watu humu wanaleta stori za kusadikika. Mimi na mke wangu tumeishi naye kwa miaka nane sasa na kwa kipindi hicho...
12 Reactions
120 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,796
Posts
49,613,928
Back
Top Bottom