Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Probability ya mwanaume kumcheat mkewe( kuwa na mchepuko) Ni almost 80% Au niseme zaidi ya asilimia 80 ya wanaume wote Duniani Ni wanacheat kwa wapenzi/ wake zao. Ila ukimuona mwanaume ambaye...
0 Reactions
6 Replies
54 Views
Dar es Salaam - 13,719 Shinyanga - 12,300 Mara - 9,823 Mwanza - 9,242 Geita - 7,697 Kigoma - 7,544 Kagera - 7496 Tabora - 7,471 Ruvuma - 7,425 Tanga - 6,827 Chanzo: Wizara ya Afya
3 Reactions
23 Replies
558 Views
Mzuka Wanajamvi! Itakuwa bonge la Mechi. Ngumu kwa shabiki wa mpira kukosa kuangalia na kufuatilia. Hii mechi ya ligi kuu uingereza ni ya kusisimua ni Tottenham Hotspur vs Mancity ambayo...
6 Reactions
44 Replies
518 Views
ZANZIBAR NA COMORO ZINA MAHUSIANO MAALUM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema Zanzibar na Comoro zina Mahusiano maalum ya kuchanganya damu wa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Mpaka sasa nchi ina Idadi ya majiji sita, ambayo ni ; Dar es Salaam Mwanza Tanga Mbeya Arusha Dodoma Ni miaka 3+ tangia kuongeza kwa Idadi ya majiji, ambapo Dodoma ilipandishwa hadhi na kuwa...
6 Reactions
81 Replies
3K Views
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k...
229 Reactions
401K Replies
32M Views
Hali ya mtandao wa internet bado ni mbaya sana kiasi cha kufanya shughuli za kiuchumi na kijamii kuathirika. Hii ni pamoja na Mabenki,Mahospitali, maduka,TRA, Umeme, Mashirika ya ndege, na maeneo...
3 Reactions
9 Replies
77 Views
Huyo Dickson Matata kaomba Uenyekiti wa Kanda ya Magharibi, huku Joseph Mbilinyi akiomba nafasi hiyo Kanda ya Nyasa. Swali ni Je Watatoboa?
4 Reactions
9 Replies
348 Views
Ndg wana JF salaam? Nimelazimika kuja hapa kuweka jambo hili sawa. Nimeona uzi unaoongelea kuwa mimi na mhe Nchimbi tumewashitaki vijana hao waliojitaja kwa kuingilia mawasiliano. Naomba kuweka...
24 Reactions
678 Replies
54K Views
Wakuu, Kutokana na wadau kadhaa kuja na mijadala anuai inayoonyesha kuwa wanayo mitaji yenye kuanzia kiasi cha TZS 100,000/= hadi TZS 999,999/=, tumeona ni vema tukawa na mjadala mmoja endelevu...
60 Reactions
4K Replies
1M Views

FORUM STATS

Threads
1,853,739
Posts
49,612,505
Back
Top Bottom