Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nimeona mdau mmoja humu anahamasisha watu wazame bush wakanunue kwa bei ndogo walete mazao mjini wauze kwa bei kubwa ili wapige pesa. Hili wazo ni zuri sana lakini ni vyema tupeane tahadhari. Ktk...
11 Reactions
24 Replies
824 Views
Nimemkuta Meya mstaafu wa Ubungo mh Boniface Jacob Kule ukurasani X akisema Yeye alikuwa Mlinzi wa Mwenyekiti wa Chadema mh Mbowe Imenitafakarisha sana 🐼 Niishie hapo
2 Reactions
30 Replies
723 Views
Watumiaji wa intaneti nchini Tanzania, Kenya, Rwanda na Uganda wamekuwa wakilalamikia ukosefu wa intaneti huku watoa huduma kote Afrika Mashariki wakikiri kumekuwa na tatizo. Wamesema...
4 Reactions
55 Replies
2K Views
hivi ni kweli pisi kali zinazoolewa siku hizi zimezaliwa na shepu nzuri na kali zilizochongoka namna ile, au hua kuna namna inafanyika? maana kila send off au ndoa ninayobahatika kuhudhuria...
0 Reactions
2 Replies
15 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Habari wakuu, Naomba nitoe heshima zenu kwa wale wote walio wakubwa kwangu na ni niende moja kwa moja kwenye mada kuhusiana na wenzetu wanawake, ambao ni wasaidizi wa maisha yetu kama muumba...
6 Reactions
33 Replies
2K Views
Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria. Amedai utafiti...
6 Reactions
86 Replies
3K Views
Kufuatia agizo lililotolewa na Serikali kupitia kwa Waziri wa TAMISEMI nchini Mhe Mohamed Mchengerwa, Agizo hilo limeitaka DART kuhakikisha inakamilisha taratibu zote za Ubia na Mbia wa UDART...
0 Reactions
4 Replies
59 Views
Wamarekani wana mambo kweli. There is genocide in Xinjiang Vs There is no genocide in Gaza
7 Reactions
46 Replies
2K Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
17 Reactions
305 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,776
Posts
49,613,523
Back
Top Bottom