Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

1. Katika kuhimiza uwekezaji jiji la Dar es Salaam kutanuliwa kujumuisha wilaya za Mkuranga, Kibaha, Bagamoyo na Kisarawe. 2. Pia, uwanja wa ndege wa kimataifa na bandari kujengwa Bagamoyo.
12 Reactions
65 Replies
2K Views
"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi...
41 Reactions
188 Replies
6K Views
Mmiliki wa 'Le Mutuz' Blog, na Mwanachama wa JamiiForums William Malecela, William J. Malecela maarufu kama Mr. Super Brands amefariki dunia leo Mei 14, 2023 jijini Dar es Salaam. Taarifa za...
43 Reactions
881 Replies
116K Views
Salaam, Shalom!! Huu ni unabii wa Nchi yetu nzuri TANZANIA Kwa mwaka 2024. KANISA ni mtu mmoja mmoja amwaminiye Yesu Kristo kuwa BWANA na Mwokozi wa maisha Yake, KANISA pia inatafsiriwa kama...
6 Reactions
50 Replies
3K Views
Kutokana na changamoto za waendesha Pikipiki, nimeona niwakumbushe tena kwani wengi hufanya mzaha barabarani bila kujua kuwa Mwili wao ndio bodi ya pikipiki! 1. Usikae ubavuni mwa gari, kwa...
10 Reactions
28 Replies
567 Views
Shunie Extrovert Jimena FRANC THE GREAT The 13 Mnazareth Daudi Mchambuzi Dinazarde Carleen Wangari Maathai Mshana Jr
25 Reactions
6K Replies
125K Views
TAMISEMI Ndio Tanganyika yenyewe kwani Mkurugenzi ana Idara zote ambazo kwenye Muungano tunaita Wizara na anao Jeshi la Mgambo kuhakikisha Usalama katika level yake Kikwete akiwa Rais aliiacha...
0 Reactions
4 Replies
73 Views
Aiseeeee habari za leo wazee......... Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi...
3 Reactions
12 Replies
46 Views
Kwa takwimu za mwisho maambukizi mapya ni watu 163k (2023) Mwaka wa nyuma yake yalikuwa watu 182k (2022) Mwaka juzi 198k (2021) Maana yake kila mwaka kuna zaidi ya maambukizi mapya 150k...
10 Reactions
136 Replies
3K Views
Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa...
9 Reactions
36 Replies
958 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,710
Posts
49,611,691
Back
Top Bottom