Shehe Ponda ambaye ni mwenyeji wa Kigoma anesema Muungano wa Zanzibar na Tanganyika faida yake ni ndogo ukilinganisha na Hasara
Kupitia ukurasa wake wa X shehe Ponda ameitaka Wananchi waulizwe...
Mchina ana kazi nzito haswa dhidi ya marekani.
Hapa ni Biden amepitisha furushi hili.
I just imposed a series of tariffs on goods made in China:
25% on steel and aluminum,
50% on...
Wakati akichangia hotuba ya bajeti ya Wizara ya Afya bungeni Dodoma, Dr Msukuma ameshangaa mabinti wa miaka 10 tu kuwa na maziwa yaliyotutumuka kiasi cha kuhitaji kuvaa sidiria.
Amedai utafiti...
Wala sina mengi ila nimeshangazwa sana.
- Ni vile tu siwezi sema shkamooi kwa hivi vibint ya 2000's, ila yamenitokea na yamenikuta
- Ni leo leo wala sio juzi au jana nikiwa katika harakati zangu...
Kama kichwa cha habari kinavyo someka ningependa uzi huu uwe maalum kwa kupeana connection mbalimbali za biashara. Biashara bila connection unaweza fanya bila mafanikio, hivyo basi ni vizuri...
Tupiamo chako, iwe ulialikwa kwenye sherehe, umepiga nacho selfie (hata kama hujala) umedoea! Umenunua, hata kama ni cha mchepuko ama nyumba ndogo cha hotelini msibani... Popote pale wee...
Wakuu kuna kitu nimekuwa sikielewi, hizi nyumba za kupanga bei zinapaa sana. Unakuta nyumba ipo Kibamba au Madale unaambiwa kodi 500k unabaki unashangaa.
Hivi kwa mishahara na biashara zetu hizi...
Vatican City: Nchi? Mji? Serikali au Kampuni?
Nadhani moja kati ya maeneo ambayo yamekuwa tata zaidi kuyaelewa basi ni mji wa Vatican… tukiachilia mbali kuhusu utata/ugumu wa kuelewa mfumo wake...
Kama kuna mdau anaelewa, hivi huyo Okra mchezaji wa Yanga yuko wapi? Haonekani kwenye benchi na haonekani jukwaani na hakuna maelezo iwapo ni majeruhi, yuko wapi?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.