UTANGULIZI
Ni kwa njia ya michezo ya kubahatisha yaani betting.
Wengi watasema betting ni kamari, sawa, lakini kwa bahati mbaya au nzuri kila kitu maishani ni kamari especially kwa sisi ambao...
Kiwango cha Matumizi ya Njia za Uzazi wa Mpango nchini hadi kufikia Machi 2024
Vipandikizi - 38.3%
Sindano - 23.1%
Vidonge - 11.3%
Njia za Asili - 11.1%
Kondomu - 10.4%
Vitanzi - 4.6%
Kufunga...
Jamaa naona anaimba Pure Swahili Gospel kali sana ni muimbaji mzuri sana na anachonifurahisha ameacha lugha yake ya kinyarwanda kakichagua kiswahili kufikisha ujumbe wake last time nilijua ni...
Kwema Wadau?
Naombeni ushauri wenu ndugu zangu,Nilikutana na Ex wangu ambaye aliniacha way back akaolewa but hakudumu ndoani alikaa 5 months only then after sometime akaolewa tena lakini hakudumu...
Mara kwa mara nimekuwa nikiona hili neno kuwa mnasema mara nyingi Uislam ni Dini ya haki na sometime mmekuwa mkiwaita Dini nyingine Makafiri, hayo maneno yamekuwa ukinitatiza sana
Lakini mimi...
Wakuu haya haya haya amkeni kumekuchwa
Msiseme sikuwaambia
Hatimaye nimeanza kutimiza ile ndoto ya kujenga ghorofa na kwa kuanzia nimeshaleta kifusi kimoja cha mchanga.
Nilipata kijisenti hapa...
Zama hizi, utambulisho mkubwa wa CCM kwa jamii ni UOVU. CCM inaonekana ni chama ambacho kipo kwaajili ya kujenga, kulinda na kuendeleza uovu na waovu:
1. UKOSEFU WA UZALENDO:
Watuhumiwa wote wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.