Aiseeeee habari za leo wazee.
Huyu jirani yangu ana watoto wawili mmoja yuko darasa la tano mwingine yuko darasa la pili, ni mdada wa makamo shughuli yake kuu ni kupika vitafunwa asubuhi na...
TAMISEMI Ndio Tanganyika yenyewe kwani Mkurugenzi ana Idara zote ambazo kwenye Muungano tunaita Wizara na anao Jeshi la Mgambo kuhakikisha Usalama katika level yake
Kikwete akiwa Rais aliiacha...
Ukipanda daladala unaweza kugundua jambo lilelile kila siku: kila daladala inapofika kituo chenye watu wengi mlango umeshazibwa na watu ambao hawawezi kusubiri kupambana kwa vile viti vichache...
Mwaka 2014 nilishawishika kwa mara kwanza kuekeza kwenye biashara za hisa, Basi nikapata abcd za namna gani na faida za za kuekeza kwenye masoko ya hisa na nikafanya maamuzi ya kununua hisa...
"Samahani sana ninavyokuona sio kama nilivyotegemea, HATUENDANI"... baada ya kusema hivyo jamaa aliyekuwa naye kwenye Toyota Hiace nyeupe akaniangalia na kutabasamu kisha akaondoa gari. Mimi...
Ndugu zangu maisha sio kutafutana, maisha ni kutafuta, mwanaume kama huna pesa, basi niseme maisha yako yatakua ya hovyo na utakufa ukiwa na uchungu sana..
Safari ni ndefu sana iliyojaa tabu...
Salaam, Shalom!!
Huu ni unabii wa Nchi yetu nzuri TANZANIA Kwa mwaka 2024.
KANISA ni mtu mmoja mmoja amwaminiye Yesu Kristo kuwa BWANA na Mwokozi wa maisha Yake, KANISA pia inatafsiriwa kama...
Picha: Internet Fibre Cable ndani ya bahari ya Hindi ambayo Watanzania walio wengi waliaminishwa kuwa huenda ikawa na matatizo yaliyopelekea tatizo la internet
=================
Umekuwa ukipata...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.