Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Ndg wana JF salaam? Nimelazimika kuja hapa kuweka jambo hili sawa. Nimeona uzi unaoongelea kuwa mimi na mhe Nchimbi tumewashitaki vijana hao waliojitaja kwa kuingilia mawasiliano. Naomba kuweka...
23 Reactions
660 Replies
52K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
516K Replies
30M Views
Kutokana na changamoto za waendesha Pikipiki, nimeona niwakumbushe tena kwani wengi hufanya mzaha barabarani bila kujua kuwa Mwili wao ndio bodi ya pikipiki! 1. Usikae ubavuni mwa gari, kwa kuwa...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hii niko serious, mwota ndoto hafi mpaka itimie. Viongozi wa simba pelekeni wachezaji wenu wakaombewe. Chukueni serious maneno ya Benchika, hawa wamechukuliwa ufahamu wagumu kuelewa. Ukiona mtu...
4 Reactions
14 Replies
361 Views
Vijana wote nchini. Hebu fanyeni Jambo moja tu kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu wa 2025. Chagueni CCM ili kutokomeza tatizo la ajira nchini.
1 Reactions
8 Replies
190 Views
Wakuu, hii Hali inanikuta Mimi tu au ni Kwa WATUMISHI wote.. Kila nikijaribu kufungua hii web Huwa inagoma kabisa.. Msaada tafadhali
1 Reactions
1 Replies
10 Views
1; Kuimarisha Afya ya Moyo: Vitunguu saumu vina alicin, ambayo inaweza kusaidia kupunguza hatari ya magonjwa ya moyo kwa kusaidia kudhibiti viwango vya cholesterol na shinikizo la damu. 2...
0 Reactions
2 Replies
27 Views
Binafsi natumia wimbo wa Wiz Khalifa_High_as_me
2 Reactions
5 Replies
25 Views
Kwa sasa pale DOdoma Wabunge watapitisha kila kitu kinacho letwa mbele yao, na baada ya Bunge kuisha watarudi Majimboni na Pipi za kuhadaa wapiga kura wao. Watarudi na hadaa za mifuko ya Cement...
0 Reactions
3 Replies
130 Views
70000 tonnes of Non GMO White Maize USD337Xwarehouse per MT Makambako, Iringa, Tanzania https //wa.me/+255654320450 Normal call 0673562946
0 Reactions
0 Replies
1 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,661
Posts
49,610,696
Back
Top Bottom