Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

India imevunja rekodi ya kujenga barabara ya njia 10 kilometers 100 kwa siku 100 pekee Sisi tunavunja rekodi kwa matozo tu Habari katika picha ===== India has achieved another milestone in...
2 Reactions
15 Replies
350 Views
Striker gan wewe mjinga mjinga, striker unapewa pasi funga unapeleka nje, magolo 2 clear kabisa anakosa mjinga huyu, ameniudhi sana leo
2 Reactions
15 Replies
428 Views
Taarifa inayosambaa mitandaoni inaeleza kwamba, Mtangazaji wa TBC, Sued Mwinyi amefikwa na Umauti leo, kwenye Hospitali ya Mloganzila ambako alilazwa kutokana na maradhi yaliyokuwa yanamsumbua...
5 Reactions
42 Replies
2K Views
Wanajamvi, Nilitaka kujua kwanini utumishi hutumia takriban miez miwili kuita watu kazini baada ya kufanya Oral, kuna nini kinachoendelea?
42 Reactions
51K Replies
3M Views
Source: Taifa Tanzania Chama cha CUF kinatarajia kufanya Mkutano Mkuu wake Ijumaa ijayo February 27,mwaka huu ambapo Profesa Abdallah Jumbe Saffari anawania nafasi ya Uwenyekiti,nafasi ambayo...
2 Reactions
4 Replies
6K Views
Kwa muundo wa Muungano wetu, hakuna mtu yeyote mwenye akili timamu, mkweli wa nafsi na asiye mnafiki, anayeweza kutetea kuwa muundo huu uliopo upo sawa sawa. Ndiyo maana watu wote maarufu, wenye...
3 Reactions
5 Replies
107 Views
1. Wanawake wa kichaga ukioa akiona tu una future anaanza kujiweka royal kwako kwa kukuaminisha yeye ni wakitofauti anataka mfanikiwe wote 2. Anakuweka karibu hadi hati zisome majina yake kupitia...
12 Reactions
56 Replies
936 Views
Habari za jioni ndugu. Nimefikiria sana kuhusu suala la furaha ya kila binadamu hapa duniani ni nini? Nikapata jibu kuwa kila mtu anayo furaha binafsi yake mwenyewe. Mimi binafsi furaha yangu...
2 Reactions
5 Replies
96 Views
Siku ya kwanza kukutana naye alikuja kwetu usiku, Alikuta nimechoka nimetoka ku record usiku, Walikua kama wanne hivi ndani ya gari aina ya chaser, Wamejaa hangover utazani jana yake walikesha...
4 Reactions
11 Replies
261 Views
Naomba kujua hivi ving'amuzi vinavyotumia moderm/internet vinaitwaje, bei yake na vipi kuhusu matumizi ya bundle. Naomba kuwasilisha
1 Reactions
1 Replies
59 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,393
Posts
49,602,989
Back
Top Bottom