Wakuu habari za wakati.
Tunakumbuka yaliyotokea mwaka 2029 kwenye mchakato mzima wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji.
Watendaji ngazi ya mitaa na vijiji walielekezwa kuweka...
Wakuu, nipo hapa napambania kujikwamua kwenye umaskini, nipo nachakata mawazo kwa ajili ya kufanya harakati, wengi walianzia chini sana na wakafanikiwa kupata pesa nyingi.
Mawazo yangu niliyonayo...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea
https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
Ndugu zetu wahaya wamebarikiwa kuwa na akili Sana. wapo na IQ kubwa.
Na wengi wanajua wanataka nini katika MAISHA.
Hongereni Sana
Sijui tungekuwa wapi bila wahaya, hongera Sana Max na...
Kati ya makabila 120 sikua najua kama kuna kabila la wahima.
Hawa ni kama masai weusiii
NB:Tanzania itakua haina kabila by 2050 ! Yaani hakuna mtu atakua anajitambua kama msukuma au mchaga ila...
TAARIFA YA KIFO CHA NDG OCTAVIAN HUBERT TEMBA
Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amelaani vikali mauaji ya Ndg Octavian Hubert Temba miaka 25-30 toka kijiji cha Komela...
Full name: Arsenal Football Club
Nickname(s): The Gunners
Founded: 1 December 1886
League: Premier League
Website: arsenal.com
Ground: The Emirates Stadium, (Capacity: 59,867) - Pitch...
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ambae ndio role model wa Chadema amesema atamtia ndani mpinzani wake wa Kisiasa ambae ni Rais wa Zamani bwana Edgar Lungu Kisa Wananchi wengi Wanamfuata baada ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.