Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

huyu ni waziri muongo sana,na ni mnafiki na mfitini mkubwa.hotuba zake zimejaa unafiki na ni mla rushwa mkubwa sana.kila ziara anayofanya mikoani hulazimishwa kupewa rushwa na wakurugenzi wa...
1 Reactions
5 Replies
94 Views
Mafanikio uleta chuki pale umeonesha mabadiliko ya jambo lako ulilolitaka.Wengi walio kuchukulia wa kawaida baadaye wakaona umebadilika kwenye mafanikio basi umeleta chuki. Chuki zenyewe sio za...
0 Reactions
1 Replies
2 Views
  • Sticky
Wengi wetu humu tunalea ama watoto wetu ama watoto wa ndugu jamaa na marafiki. Tumekuwa na mada maalum nyingi za mambo tofauti kama urembo magari simu n.k. lakini hatujawahi kuwa na mada hii...
148 Reactions
1K Replies
279K Views
Siasa za dijitali ,siasa za mitandaoni,siasa za Instagram.siasa za uchawa. Ukiwa na akili timamu huwezi kushabikia siasa za Makonda na umapepe wake wa kulazimisha kukubalika Kila pembe ya nchi...
1 Reactions
4 Replies
40 Views
Jamani sijui Mimi ni mshamba?sijawahi penda biriani
14 Reactions
242 Replies
2K Views
Habari zenu wana Jf, Naitwa Bi Mariam, natafuta mume aliye serious, anayetaka kuoa, mwenye sifa zifuatazo; Umri : 34 - 40 Dini : Mkristo Elimu : Awe na Digrii na kuendelea Awe ameajiriwa...
25 Reactions
328 Replies
9K Views
Wadau naomba ushauri wenu. Nina mpenzi. Anakaa kwingine anakofanyia kazi. Hivi juzi kati nilimpigia simu usiku kama saa 3 mpaka saa 7 hivi nikawa najibiwa SIMU INATUMIKA. Nikatuma na message...
8 Reactions
37 Replies
518 Views
Habari JF , TL na JPM personality zao zinafanana sana ukiachana tofauti zilizopo za kisiasa na ni wazalendo kweli kweli Hivyo Kiuhalisia hakuna zuri ambalo JPM alifanya Tundu lissu asingefanya...
13 Reactions
87 Replies
1K Views
I passed Nietzsche's metamorphosis, the camel, the lion and the child, thus spake Zarathustra.... Ni muda wa kuanza safari mpya ya maisha baada ya kukamilisha majaribio ya kuwa...
0 Reactions
4 Replies
65 Views
Habari za asubuhi ndugu zangu wa JF. Kwa miaka kadhaa nilikula msoto sana wa kimaisha kiasi cha kukosa hata pesa ya nyanya geto.Sometimes chai ya asubuhi ilinishinda,lunch ilikuwa inapiga chenga...
2 Reactions
15 Replies
156 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,116
Posts
49,590,394
Back
Top Bottom