Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Wakuu kwema! Kuna jambo huwaga najiuliza kila siku kwenye hivi vita vinavyoendelea huko Mashariki ya kati baina ya Israel na Hamas.. Wakati wanawake na watoto wanapouliwa huko Gaza, Wanaume zao...
5 Reactions
71 Replies
434 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
  • Sticky
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies. Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza...
68 Reactions
23K Replies
2M Views
Ni hilo tu Ili kupata uwanja mpana wa kukabiliana na wapotoshaji wa kisiasa Sabato Kamilifu 😂
1 Reactions
12 Replies
120 Views
Habari za majukumu ndugu zangu,, kama kichwa cha habari kinavojieleza hapo juu napenda kuuliza bei ya control box ya gari tajwa hapo juu maana gari yangu iliingia kwenye maji ikapiga shot So...
1 Reactions
13 Replies
165 Views
TAARIFA YA KIFO CHA NDG OCTAVIAN HUBERT TEMBA Mbunge wa Jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei amelaani vikali mauaji ya Ndg Octavian Hubert Temba miaka 25-30 toka kijiji cha Komela...
1 Reactions
12 Replies
278 Views
Nilicheka sana, Baada ya taarifa za kibu Denis kuwagomea makolo kusaini mkataba mpya kisha baadae wakala wake akaingiza siasa za kwamba tapeli hilo la söka linatakiwa na mabingwa wa nchi, Yanga...
6 Reactions
20 Replies
307 Views
Utendaji kazi wa Makonda unamfanya afuatiliwe sana na wananchi wote. Alipoteuliwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, kuna watu walisema hataliweza hili jiji. Kampana hadi sasa hivi wote wanaokuja...
1 Reactions
2 Replies
30 Views
Wakuu nahitaji 2011 Nissan Xtrail ukubwa wa Engine uwe kati ya 2 mpaka 2.5 cc. Niagize wapi Kati ya Japan na Afrika Kusini?
8 Reactions
81 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,251
Posts
49,595,022
Back
Top Bottom