Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali. Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna...
3 Reactions
20 Replies
303 Views
Pamoja na Mtandao kutatizika bado tunasubiri Kamanda Erythrocyte wa Ufipa st utujuze kilichojiri pale Chadema HQ mikocheni kwenye CC Makamu Mwenyekiti mh Tundu Lisu alionekana kuvaa T-shirt ya...
0 Reactions
7 Replies
101 Views
Miaka miwili iliyopita huko Kigamboni, Nilikuwa natoka kwangu na kwenda dukani kufuata mahitaji,wakati nipo njiani kuna vijana watano walikuwa kwenye mjadala juu ya kufanikiwa. Ulikuwa mjadala...
3 Reactions
8 Replies
68 Views
Lissu ni kijana wa mjini na amefanya siasa nyingi za hoja na za hovyo akiwa Bungeni na sasa majukwaani. Kwa mtazamo wangu haya ndio majina ya wanachama 3 wa CCM wanaoweza kupambana na Lissu...
10 Reactions
163 Replies
6K Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
"Asili ya Dhahabu: Ugunduzi Mpya katika Ardhi ya Tanzania! Kupitia juhudi za kisayansi na utaalamu wa jiolojia, nimeweza kufanya ugunduzi wa eneo lenye thamani kubwa ya madini ya dhahabu na copper...
4 Reactions
10 Replies
226 Views
Wamarekani wana mambo kweli. There is genocide in Xinjiang Vs There is no genocide in Gaza
1 Reactions
4 Replies
148 Views
Leo kuna shida kubwa sana ya mitandao yote ya simu. Tangu saa nne. Nimejikuta nayakumbuka madishi ya Elon Musk ya Starlink.
0 Reactions
8 Replies
131 Views
  • Suggestion
UTANGULIZI Inaweza kutafsiriwa kama umaridadi kuwa na gari kila kaya, lakini ndivyo ukweli ulivyo kuwa gari kila kaya ni mwarobaino wa vifo vinavyotokana na umbali wa vituo vya afya kwa baadhi ya...
0 Reactions
1 Replies
44 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,350
Posts
49,601,066
Back
Top Bottom