Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Inakuwaje wanajamvi! Naombeni mniamini Fulham watashinda leo goli 1-0 dhidi ya Man City. Na kesho wabahatishaji Arsenal watagongwa 2-0 na Manchester United. Jumanne ManCity watafungwa 2-0 na...
1 Reactions
12 Replies
332 Views
Mbunge wa Geita Vijijini Dr Musukuma amehoji " kama bunge halina meno sasa tuko humu Ndani kufanya kitu gani?" Musukuma amedai tangu enzi za Kafulila aliyeitwa Tumbiri, tukaambiwa ni vihela vya...
5 Reactions
30 Replies
695 Views
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
16 Reactions
275 Replies
3K Views
Utendaji kazi wa Makonda unamfanya afuatiliwe sana na wananchi wote. Alipoteuliwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam, kuna watu walisema hataliweza hili jiji. Kampana hadi sasa hivi wote wanaokuja...
1 Reactions
5 Replies
119 Views
  • Sticky
Full name: Chelsea Football Club Nickname(s): The Blues, The Pensioners Founded: 10 March 1905 League: Premier League Website: ChelseaFC.com Ground: Stamford Bridge, (Capacity...
154 Reactions
121K Replies
7M Views
Suala la serikali kuingiza udini kwenye elimu limepigiwa kelele kila kona. Kuna baadhi ya wadau wanaamini kwamba hata kabla hizi tahasusi za dini kuanza kufanya kazi, kuna uwezekano serikali...
7 Reactions
98 Replies
1K Views
  • Suggestion
Tanzania tuitakayo ni nchi inayoongoza katika demokrasia na utawala bora barani Afrika. Ni nchi ambayo kila raia ana sauti katika kuchagua viongozi wake na kuamua mustakabali wa taifa lake. Ili...
0 Reactions
1 Replies
11 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
The Weekend - Out of Time
18 Reactions
4K Replies
70K Views
Wana theolojia, na wengine wote, karibuni kwenye MADA, Naombeni mnisaidie hili swali, Ni kama jepesi,Ila ni gumu,ni kutokana na mvutano uliopo, Kuna wanaosema JEHANAM ya muda sio ya milele na...
1 Reactions
18 Replies
114 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,283
Posts
49,595,623
Back
Top Bottom