Inakwaza na kufedhesha sana kwasasa kuona kuna ongezeko kubwa la watoto ambao hawajulikani baba zao ni akina nani na hata kama baba wanajulikana basi hawapo katika maisha ya mtoto.
Big up kwa...
Mashabiki wengi wa ngumi pamoja na mabondia mbalimbali wa ngumi duniani wameshtushwa baada ya kuona maandalizi ya pambano kati ya mwanadada Claressa Shields pamoja na bondia wa kiume Ryan Garcia ...
Kwa mujibu wa Ricardo Momo Feisal Salum anapokea Mshahara wa 16M kwa mwezi familia yake nzima ikiwemo mama yake wamepewa kazi kwenye kampuni la Bkharesa Group Of Company na Mshahara si chini ya...
Jamii ya wapenda muziki wa gospel afrika mashariki imeshtushwa na kusikitika sana baada ya kusikia matamshi ya mwimbaji maarufu zaidi wa muziki wa gospel hapa Tanzania kuwa;
1. Mungu alimpa wito...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Hello brothers and sisters... This is something very important you should know.
When you have sex with another person, you exchange energy. If that person is carrying around guilt, shame or...
Ndugu zangu Watanzania,
Mheshimiwa Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Kassimu Majaliwa leo hii ameshiriki Tulia Marathon Mkoani mbeya. Mbio ambazo zimekuwa zikifanyika kila mwaka...
Upo uwezekano mkubwa wa Beno kakolanya kurejea yanga msimu ujao.
Inaelezwa yanga ipo kwenye mpango wa kuachana na Metacha mnata japo bado anamkataba wa mwaka mmoja umesalia.
Beno kakolanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.