Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Muhimu: wanaodhani mtoto wa miaka 8 hawezi kujihusisha na ngono basi niwaelimishe kwamba haya mambo yapo tangu zamani mashuleni, mitaani, n.k. !! tofauti yao ni kwamba viungo vyao havijakomaa...
5 Reactions
31 Replies
667 Views
Ndugu zangu Watanzania, Kwa mara nyingine tena Dunia imempatia heshima ya kipekee kabisa na ya hadhi ya juu kabisa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Mama Samia...
5 Reactions
34 Replies
498 Views
Mpaka sasa wameshapata funzo kwamba Myahudi akidhamiria anapiga tu, wamekubali kujiondokea, magaidi ya dini yabaki yenyewe panyooshwe kama kwingine kule. Mtakaobaki hapo msianze kusema akina mama...
6 Reactions
18 Replies
417 Views
Huu ni ukrasa maalum kwaajili ya kuomba nyimbo zenye mahadhi ya kiafrika hasa za Kikongo. Nitajitahidi kadri ya niwezavyo nizipost kadri zinavyoombwa. Pia, bongo fleva za zamani ni mahara pake...
15 Reactions
775 Replies
181K Views
Binti ya Hayati Rais John Pombe Magufuli, Jessica Magufuli, akiwa ni mwenye furaha baada ya kupanda matatu yenye graffiti za sura ya marehemu babake Jijini Nairobi. Matatu ni neno la mtaa lenye...
1 Reactions
3 Replies
63 Views
Hiv
Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii.
0 Reactions
6 Replies
55 Views
1: Mungu ananguvu kuliko shetani. 2: Mungu ametoa kila kitu cha lazima mtu yeyote atakaye kwenda aende. Hakuna alichobakiza. 3: Neema ya Mungu ina nguvu kuliko nguvu ya dhambi 4: Kwa Mungu...
10 Reactions
46 Replies
392 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Habarini wadau.... Leo nimenunua kreti la soda kampuni ya Cocacola, wakati nataka kunywa soda nakutana na chupa Moja ikiwa ndani na kisoda kilichokunjwa.... Ina maana wakati wa package hii kitu...
5 Reactions
63 Replies
2K Views

FORUM STATS

Threads
1,853,352
Posts
49,597,179
Back
Top Bottom