Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
Nilimuoa mke wangu miaka 25 iliyopita akiwa na watoto wawili wa kiume aliowapata kwenye ndoa yake ya awali.
Niliwapenda sana wale watoto na kuwachukulia kama watoto wangu kabisa na hakuna...
Hii ni dharau, pili mshahara wa Benchikha ulitoka kwa mmiliki wa club ya Simba yaani Mo (alisema kainunua na hajawahi kufuta kauli yake), mishahara ya Mgunda na Matola inatokana na mapato ya club...
Sababu Kwanini Hutakiwi Kusex na KILA MTU.
Niliposoma Vitabu Kadhaa Vinavyoelezea MAPEPO (Demons) Kikiwemo Kile Cha Dag Hewald Mills Kinachoitwa "Demons, And How To Deal With Them"
Nilijifunza...
"Asili ya Dhahabu: Ugunduzi Mpya katika Ardhi ya Tanzania!
Kupitia juhudi za kisayansi na utaalamu wa jiolojia, nimeweza kufanya ugunduzi wa eneo lenye thamani kubwa ya madini ya dhahabu na copper...
Tuzo ya Kocha bora wa msimu kwa EPL kuna majina matano, ambayo ni;
1. Mikel Arteta - Arsenal
2. Unai Emery - Aston Villa
3. Pep Guardiola - Man City
4. Andoni Iraola - Bournemouth
5. Jurgen Klopp...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.