Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Hello! Jf family I'm looking for matured women to start a new life chapter with. I'm Christian, 35 yrs with one kid, if you're interested and you're 24 -30 yrs please leave a message in...
7 Reactions
30 Replies
476 Views
Kuheshimu imani ya mtu, hasa katika nchi isiyo na dini, ni suala nyeti sana. Ndiyo maana Watanzania wengi wanapotaka kufanya sherehe, kama si Waislamu, huhakikisha kuwa mchinjaji wa nyama...
7 Reactions
173 Replies
2K Views
Mimi ni kijana mwaminifu kabisa sio mwizi ila natafuta mtu wa kua ananiazima geto hata kwa masaa kwa ajili ya shughuli zangu ndogo ndogo! Nitakua nampooza ya maji!! NB: Wenye ushauri wa uende...
11 Reactions
77 Replies
631 Views
Mzee Wa upako anaamini Yesu Sio Mungu ni mojawapo tu wa viumbe vilivyoumbwa na Mungu msikilize mwenyewe akiongea https://youtu.be/arslWzOsg6U?si=kb8B1gDqxFl-jXq8
11 Reactions
158 Replies
1K Views
Ukweli Tanganyika ni nchi ngumu. Jimbo la lupa lililopo chunya, halina hata nusu Kilomita ya Barbara ya Lami. Na Cha kufurahisha mbunge wake Yuko bungeni na anatarajia kurudi kuomba kura tena...
4 Reactions
54 Replies
708 Views
Hellw jf,ninatumaini wote hamjambo.Kwa anayetafuta mwalimu wa computer programming na computer courses apige namba hizi 0759-124378
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Wadau kama link inavyosema hapo chini.Nini tatizo? https://www.bloomberg.com/news/articles/2024-02-28/tanzania-lng-slows-as-state-delays-on-signing-agreement-with-equinor-shell
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Kwa mujibu wa Ricardo Momo Feisal Salum anapokea Mshahara wa 16M kwa mwezi familia yake nzima ikiwemo mama yake wamepewa kazi kwenye kampuni la Bkharesa Group Of Company na Mshahara si chini ya...
0 Reactions
2 Replies
3 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
515K Replies
29M Views
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema ambae ndio role model wa Chadema amesema atamtia ndani mpinzani wake wa Kisiasa ambae ni Rais wa Zamani bwana Edgar Lungu Kisa Wananchi wengi Wanamfuata baada ya...
4 Reactions
26 Replies
338 Views

FORUM STATS

Threads
1,853,199
Posts
49,593,108
Back
Top Bottom