Salaam, shalom!!
Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma,
Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio...
Agizo la majini 1-5
RIWAYA: AGIZO LA MAJINI
MTUNZI: MR ROYNOO
WHATSP NO: 0786978618
Sehemu ya 1
Naitwa Mr Roynoo a.k.a mnyama dumaa wengine wanapenda kuniita kwa kwakufupisha hasa hasa...
Wakuu naomba kufahamu, Je iwapo Coastal Union akabaki kwenye nafasi ya nne ligi kuu ataenda kushiriki kombe la shirikisho Africa?
Je bingwa wa CRDB Confederation akiwa Azam au Coastal ataenda club...
Kwahiyo Yeye Mkewe hachepuki, Yeye hachepuki na kwamba Yeye ni Mtakatifu sana katika Mahusiano na Saikolojia? Tafadhali mwenye Picha ya Mke wa Dk. Chris Mauki tafadhali aiweke hapa ili labda wenye...
Wazanzibari kwa umoja wao wanataka utaifa wao utambulike kimataifa, wanataka sarafu yao, wanataka makabila yao na wanataka ardhi yao.
Wazanzibari wanataka Zanzibar na siyo Dodoma na wanataka...
Salaam, shalom!!
Kwa kuanza, naomba kudeclare, Rabbon ni mwalimu wa neno la Mungu katika ngazi ya watoto.
JAMII ya kitanzania, inatahamaki kushuhudia mmomonyoko mkubwa wa Maadili na wanaolaumiwa...
Nimefuatilia hotuba ya kuchangia ya Mhe. Tabasamu kwenye Bajeti ya Uchukuzi na kusikitishwa na sifa na shukrani aliyoitoa kwa waziri wa uchukuzi kuwa amewezesha ujenzi wa uwanja huo kuwa wa...
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi.
Ninaomba tuangalie katika positive...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.