Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Alichaguliwa kuwa Rais wa Marekani mwaka 2016, na kuingia Ikulu 20/01/2017 baada ya kula kiapo. Katika kipindi cha uongozi wake, alifanya mengi, yakiwemo yaliyowafurahisha na yaliyowakwaza...
1 Reactions
5 Replies
49 Views
Habari za Leo wakuu Nimerealize presha YA kupanda is the worst Kuliko ya kushuka ...no siku YA 4 Leo napambana presha haijakaa Sawa nilipima ilikua 140 Kwa 89 Kuna Dawa nlipewa inaitwa amlodipine...
2 Reactions
46 Replies
892 Views
AMINI AHADI ZA MUNGU ZITATOKEA KWAKO HESABU 23:19, Mungu si mtu, aseme uongo, wala si mwanadamu, ajute, iwapo amesema, hatalitenda? Iwapo amenena, hatalifikiliza? (Ref: 1Samwel 15:29, Malaki 3:6...
12 Reactions
41 Replies
355 Views
UCHAGUZI WOWOTE watu wa Bara hawatawapigia kura waliotokea Zanzibar Watu wa Zanzibar wamekuwa sehemu ya kuharibu rasilimali za Bara (Tanganyika) ubaguzi Kuingilia mambo yasiyo ya Muungano kujipa...
2 Reactions
4 Replies
62 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
927 Reactions
1M Replies
40M Views
Ndugu zangu Watanzania, Hapa chini ni picha ya Mama mzazi wa Mheshimiwa Dkt Tulia Acksoni Mwansasu ,speaker wa Bunge letu pamoja na Rais wa umoja wa mabunge Duniani yaani IPU. Tukio hili la...
9 Reactions
111 Replies
3K Views
Machawa fanyeni kazi yenu basi ya kusifia. Mvua hizo, mafuriko, mama Anaupiga mwingi. Naomba tumshukuru kwa mafuriko maana maisha yetu yanakuwa determined na Mama. Au nakosea jamani
0 Reactions
1 Replies
2 Views
JWTZ imekuwa ikifanya kazi vizuri kulinda mipaka ya nchi na Amani sambamba na kufanya whistle blowing kwenye TEUZI za kikimbizi. Pamoja na yote haya, bado kwangu wanasiasa wananguvu sana...
8 Reactions
21 Replies
317 Views
Kulingana na baadhi ya Wakenya kutaka hii battle. Sasa ni muda mwafaka wa kuonesha kipi Nairobi kipo hakipo Dar es salaam na kipo Dar es salaam hakipo Nairobi. Ninaomba tuangalie katika positive...
123 Reactions
514K Replies
29M Views

FORUM STATS

Threads
1,852,970
Posts
49,585,374
Back
Top Bottom