Habari wakuu, nina kiofisi changu, nataka kununua Router unlimited ya Airtel, ambapo wana categories, wanaanzia bando ya 70,000 kwa mwezi ambayo ni Unlimited na Speed yake ni 10Mbps.
Ama nilipie...
JE, NDEGE INARUDI NYUMA?
Ndege nyingi za sasa zina mfumo wa kurudi nyuma #reverse' ambao mara nyingi hutumika kupunguza kasi wakati ikitua (#Braking).
Kwa baadhi ya ndege za 'Mapangaboi'...
Baraza kuu la Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA, limethibitisha uamuzi wa kamati kuu ya chama hicho cha upinzani Tanzania na kuwavua uanachama wabunge 19 wa viti maalumu wanawake.
Je...
Mwijaku kaenda Mpaka Makka ila bado anafuga Mbwa, hajui kuwa ni Haramu kwa Muslims kufuga Mbwa..!!
Waislamu hatufugi mbwa, mbwa ni haram tumewaachia Makafiri ndio wafuge!
Mbwa akikunusa ama...
Habari za leo wana jf mimi ni kijana wa miaka 26 nimejitafuta kwa muda na kwa sasa nashukuru mungu niko tayari kwa ajili ya ndoa,na kifamilia na kimatunzo pia
hivyo basi naomba kufahamu kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.