Macho yanavutia sana. Kupitia macho waweza kuchungulia roho ya mtu, baadhi ya vigezo vinavyofanya macho kuwa yenye mvuto ni; kuwa na umbo la Uduara wenye uwiano, kuchomoza nje ya sura, na kuchukua...
Habari!
Nimekutana na mkasa ambao umenifanya niamini wanaume sio watu wa kuwaamini 100%
Mimi ni mtu ambae muda mwingi najifungia ndani, lakini ikitokea nimekua mpweke sana huwa napendelea kwenda...
Habari za muda huu wana jamvi, poleni kwa majukumu na harakati za kila siku za ujenzi wa taifa na kuhakikisha mkono unakwenda kinywani. Bila kuchelewesha muda niende moja kwa moja kwenye mada...
Habari za jumapili!
Zile porojo za Watu waongo kuwa mzazi ni mzazi zinaenda kufutika. Kila siku nawaambia hapa, mahusiano ya Watu yanatokana zaidi na ukaribu wao jinsi wanavyoishi na kutendeana...
Asipodhibitiwa kuna siku Makonda atafanya tukio au ataropoka kitu ambacho kitamvunjia heshima Rais wetu jjambo ambalo litamdhalilisha Rais na kujutia uamuzi wake wa kumrudisha mjini mtu asiye na...
CHANZO NI BBC SWAHILI
Mbu dume wasiouma aina ya Anopheles stephensi mbu waliotengenezwa na Oxitec, kampuni ya teknolojia ya kibayoteknolojia yenye makao yake makuu nchini Uingereza, hubeba jeni...
Leo nimekaa nimetafakari sana bila kupata jibu, sijui ndo Bangi zenyewe! anyway
"Waungwana mbona Wazungu wao wanahistoria nzuri sana kuanzia kwenye vitabu vya dini mpaka historia za watu wa kale...
Hivi jamani huu utapeli wa mtu anasema amekutumia mzigo kutoka London halafu anakwambia upo kenya ni mimi tu niliona au kuna mwingine naye kauona?
Aliyekutana nao aniambie yeye ilitumika kampuni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.