Ameandika Tundu Lissu kwenye Mtandao wa X
Serikali ya SSH leo imevunja makazi ya Wamasai wa Sanya Station, karibu & airport ya KIA. Lengo ni kukabidhi eneo lao kwa kampuni ya Oman Airports ya...
Wakuu bado hatujafika tunapotaka ila kiukweli kuna hatua tumepiga kwa miaka hii. Haya ni mambo ambayo yalikuwepo ndani tu ya miaka isìyozidi 30.
1. Shule za sekondari zilikuwa chache mno kiasi...
Mzuka wanajamvi
Nipo hapa naandaa script ya movie bonge la movie ambayo itateka gumzo la kila mtu nchini. Jina la movie Muuza madafu encounter freedom.
Ni hivi. Inaanza magaidi kutoka msumbiji...
Lengo la uzi wangu siyo kumfundisha kazi Mhe. Rais. Bali kumshauri kwa uzingativu wa mamlaka aliyonayo kikatiba.
Tunamuona Waziri wa Ujenzi Mhe. Bashungwa akipiga kambi kusini kusimamia...
Mkurugenzi Mkuu wa Ubia kati ya Sekta binafsi na Serikali ya JMT Mhe David Kafulila akiwa kwenye kipindi Cha DAKIKA 45 kinachorusha katika runinga ya ITV ameuambia umma wa Watanzania haya...
Kwamaelezo ya Tundu Antipasi Lisu aliyoyatoa kwenye mikutano yake ya hivi kalibuni niwazi kua Tanganyika iliuhitaji zaidi muungano kuliko Zanzibar, ndiomana tukawa tayali kuingia hata hasara ili...
FREEMAN AIKAEL MBOWE
TUNDU ANTIPUS LISSU
JOHN WEGESA HECHE
JINSI YA KUPIGA KURA.
1. Gusa jina la Unayemtaka
2. Shuka chini gusa "Cast Vote"
#Kupigakura ni Kwa mgombea mmoja tu vigezo...
Mkutano wa Kitaifa kutafakari na kujenga uelewa wa pamoja juu ya sheria za Uchaguzi zilizopitishwa kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa wa Mwaka 2024 na uchaguzi mkuu wa Mwaka 2025.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.