Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Katika vyama vya siasa vilivyo vingi Tanzania ikiwemo hata CCM yenyewe nivigumu kusikia kingozi au mwanachama akikosoa mwenendo wa chama au kiongozi wachama chake na asijikute katika wakati mgumu...
10 Reactions
27 Replies
798 Views
Uzi huu ni maalum kwa wale wapendao kupeana likes. Hapa comment chochote kasoro lugha chafu utapata like yako saaafii! Karibuni wadau.
925 Reactions
1M Replies
40M Views
JANA NILIKUWA SEHEMU KAMA MBILI ZA KUFURAHISHA MOYO YAAN JINSI WANAVYOMSIFIA ENGN HERSI HATARE SANAA UKWELI TUNAPOELEKEA NIKAWAMBIA WASIMWAMINI SANA AHMED ALLY NGUVU ZA YANGA YA USAJILI...
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Hawa Wabunge wenu huwa hawana uwezo, tukisema tunaambiwa tuna kashfu. Sasa angalia huyu Mama, sijui Mbunge wa Wapi huko, hajui CT SCAN anasema T scan, akili yake yote ameilekeza kumsifia...
7 Reactions
66 Replies
759 Views
Chonde chonde CCM Msishupaze shingo. Watanganyika wa Sasa wengi ni form four. Wanaelewa vitu vingi, wanaelewa Nini maana ya Muungano. Wanachambua huku vijiweni hadi tunashituka. Kero hizi...
0 Reactions
3 Replies
16 Views
Huo Ndio Ukweli wa Jumanne hii Moja ya Imani Kuu ya CCM ambayo mwanachama hujiapiza nayo mbele ya Mungu wa mbinguni ni Kuulinda Muungano wa Tanzania CCM ni Tunda la TANU na ASP zilipoungana Ndio...
0 Reactions
11 Replies
63 Views
Mimi nina miaka 40 na ushee, miaka mitano iliyopita nilipata tatizo la kutokurudia tendo yaani nikipiga goli langu moja basi mpaka kesho. Sasa mwezi mmoja uliyopita limeibuka tatizo lingine...
8 Reactions
72 Replies
1K Views
Ukiwa member wa makundi ya Whassap, ya kifamilia, ukoo, mliosoma wote primary, O-Level, High School, Chuo, Kazini, Mtaani Kuna mzigo mzito sana wa michango ya rambirambi inakungoja. Kila kundi...
0 Reactions
1 Replies
107 Views
Nauliza tu ndugu zangu Wabunge Wetu kule Bunge la Africa Mashariki Sifa zao za chini ( minimum) Ndio hizi hizi za Wabunge Wetu wa Dodoma akina Dr Musukuma PhD? Nasubiri majawabu 🐼
0 Reactions
1 Replies
2 Views
Hii ni Supu ya shilingi 500 hapa Buguruni, hivi kwa hali hii unaweza ukapata akili ya kuwa na vitu vikubwa? Buguruni hii kuna mpaka Chips za 500. Wali ule unaouzwa 2,000 maeneo mengine hapa...
53 Reactions
161 Replies
6K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,809
Posts
49,585,785
Back
Top Bottom