Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Najua ni mara chache sana watu kuizungumzia Dodoma kwa sababu wanai-underrate nakudhani kuwa Dodoma imelala ukweli mchungu ni kuwa kwa kasi ya ukuaji wa mji huu kuna majiji mengi nchini yajiandae...
20 Reactions
5K Replies
208K Views
Just imagine umezaliwa ukiwa punda ila hutaki kuwa punda unataka kuwa pundamilia kwa sababu unaamini jamii inayokuzunguka inapenda pundamilia, na mungu kakuumba hivyo unatembea na maumivu makali...
8 Reactions
32 Replies
1K Views
Mara kadhaa Chadema wamekuwa wanawadanganya watu wasioelewa kwamba eti Katiba Mpya ndio muarobaini wa Rushwa na Ufisadi licha ya kina Bob Wine kuwapa somo kwamba jambo Hilo linategemea uadilifu wa...
0 Reactions
7 Replies
27 Views
Naomba kujua Tafadhari hawa maafisa uhamiaji huwa wanasoma course gani?, vyuo pia ni vipi? Na vigezo🙏🏻🙏🏻🙏🏻
0 Reactions
1 Replies
10 Views
Kwa miaka Mingi Arusha na Dar zilikosa Washindani wao hapa Tanzania ila Kwa Sasa kuibuka Kwa Jiji la Dodoma kumeanza kuificha Arusha. Utawala wa Jiji la Arusha(Geneva of Africa) imefunikwa Kwa...
8 Reactions
1K Replies
39K Views
Zilikuja Mafia kuvua boti za fery Dar mpaka sasa bila bila huku watu wa fery poleni.
1 Reactions
18 Replies
375 Views
  • Suggestion
Kutumia nambari za utambulisho zilizopo za raia wa Tanzania au vitambulisho vya uraia kupiga kura kwenye mtandao kunaweza kuwa chaguo zuri la kurahisisha mchakato wa upigaji kura na kupunguza...
1 Reactions
11 Replies
78 Views
DEMOKRASIA NI NINI? JE DEMOKRASIA NDIO MFUMO SAHIHI KULIKO MIFUMO MINGINE? NINI FAIDA NA HASARA ZA DEMOKRASIA? DEMOKRASIA ILIANZIA WAPI? (Ugiriki) JE MAENDELEO NI NINI? JE KUNA UHUSIANO CHANYA AMA...
0 Reactions
4 Replies
33 Views
  • Suggestion
Tanzania iko katika wakati muhimu sana katika safari yake ya maendeleo. Kama Taifa ni muhimu kuandaa ramani ambayo itakuwa muongozo wetu kwa miaka 20 ijayo, ramani ambayo itagusa sekta zote muhimu...
0 Reactions
1 Replies
17 Views
Moja ya hoteli ambayo ni alama katika mji kasoro bahari wa Morogoro ambayo ilianza kazi tangu mwaka 2007 imeingizwa sokoni. Wenye nia ya kununua wanatakiwa kuwasilisha pendekezo lao kabla ya May...
8 Reactions
112 Replies
3K Views

FORUM STATS

Threads
1,851,256
Posts
49,568,272
Members
667,844
Latest member
madoree
Back
Top Bottom