Where We Dare To Talk Openly

Latest posts

Leo nilikuwa nimetoka ofisini Sasa kwa bahati mbaya kifurushi changu Cha mwezi kikawa kime niishia Na Kibaya zaidi ninapo kwenda siwezi kwenda bila kuwa na mda wa maongezi Nikaona ni vema...
7 Reactions
99 Replies
1K Views
Kazi kuu ya Viongozi wa dini ni kuchunga kondoo wa Mungu, iwe Makanisani au Misikitini ama kwingineko. Sasa hili la kupewa vibali vya kuagiza sukari kutoka nje ya Nchi ni jambo jipya, na je...
6 Reactions
19 Replies
396 Views
Ofa za usajili zilizokuja mezani za Kibu Denis kutoka nje ya Tanzania ni kutoka Misri, Sweden 🇸🇪 na Norway. Amethibitisha meneja wa mchezaji huyo, Carlos Mastermind.
7 Reactions
29 Replies
1K Views
Ndugu zangu niliona uzi humu ukikataza kuwa na urafiki na askari polisi, ila mimi nakazia Zaidi hata hawa mgambo ni wa hovyoo tu. Kuna mgambo alikuja kwangu kunipa taarifa kwamba nahitajika kituo...
2 Reactions
7 Replies
42 Views
ALIVYOOOONDOKA NABII WALIONGEA MENGI WAKAFURAHIA WANACHUKUA UBINGWA NENDEN MKASAFISHWE KWA MWAMPOSA BURE KAZI MNNANYO SASA HATA NAFASI YA PILI HAWAIONI
0 Reactions
0 Replies
1 Views
Introverts ni wachache sana lakini wana asilimia kubwa kwenye kufanikiwa kupitia masomo, ubunifu, teknolojia, n.k. Huku kwenye mambo ya teknolojia kuanzia kina bill gates, mark, steven jobs, n.k...
3 Reactions
10 Replies
37 Views
Sasa wananchi tukimbilie chama gani? https://twitter.com/Tanzaniawall/status/1786251731120058804?s=19
0 Reactions
14 Replies
404 Views
Habari Kuna jambo limenitatiza sana, nina mke naishi nae ana mtoto mdogo ananyonyesha. Ameweka kitanzi kama njia za uzazi. Nilisafiri mkoani tukawa tunachart akaniambia nikifanya mapenzi na wewe...
18 Reactions
199 Replies
4K Views
"Barnaba usijisahau kama umemuoa mtoto wa nani, unajua kabisa wewe ni mume wa mtu unaenda kupiga picha kama zile, umeweka mkono kwenye chup! ya mwanamke mwingine wakati unajua hiyo ni nguo ya...
9 Reactions
46 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania, Gazeti la Mwananchi limeripoti ya kuwa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU Salum Hamduni amesema ya kuwa watachunguza na kufuatilia tuhuma za rushwa ndani ya CHADEMA. Rai yangu...
0 Reactions
14 Replies
209 Views

FORUM STATS

Threads
1,850,896
Posts
49,558,624
Members
667,700
Latest member
zacharia erick
Back
Top Bottom